Startimes wakanusha Huduma ya channel kwenye startimes

Startimes wakanusha Huduma ya channel kwenye startimes

Status
Not open for further replies.
Nipo naangalia dstv kupitia star time mkuu so cjanyooshwa me ndo nawanyoosha startime
Dstv kupitia star times. Kwa decoder IPI?
Unajua dish la dstv na star times. Wanapoelekea.
Unatumia satellite IPI?
Hongera
Wadanganye hao Hao.
 
habari zenu!

tafadhari startimes tunapenda kutoa tahadhari, kuwa huduma hii ni ya kitapeli, tumeshapokea malalamiko mengi kwa wateja wetu kuhusu kutapeliwa na mtu huyu. Tafadhari tunaomba mchukue tahadhari kwa hili.

hivi sasa startimes tumeshafikisha taarifa vyombo vya sheria, na kwa kushirikiana na jeshi la polisi tumeunda timu yetu kwa ajili ya kumnasa mtu huyu.

maelezo tafadhari piga 0764700800-0677700800
Sawa wakuu ila boresheni huduma zenu
 
We jamaa inawezekana hii? Nimeiskia skia Ila bado siamini..wapo watakutafuta mzee huduma safi sana hiyo
Achana na hili tapeli lilikokubuhu,kila sehemu lipo,iwe fb,kupatana na hata hapa jf sio mara ya kwanza kuleta hili bandiko
 
mm nmemchek mda c mref....mshkaj anatoa huduma bora.....( service then payment) saf sanaaaa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom