StarTimes Tz inamilikiwa na nani?

JAYJAY

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Messages
2,727
Likes
1,002
Points
280
JAYJAY

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2008
2,727 1,002 280
Kama kichwa kinavyosomeka naomba kufahamishwa juu ya hilo.

Naomba pia kujulishwa kuhusu uhusiano wake na TBC.
 
R

RWEYE1

Senior Member
Joined
Feb 10, 2012
Messages
119
Likes
10
Points
35
R

RWEYE1

Senior Member
Joined Feb 10, 2012
119 10 35
Kama kichwa kinavyosomeka naomba kufahamishwa juu ya hilo.

Naomba pia kujulishwa kuhusu uhusiano wake na TBC.
Startimes kwa hapa nchini inamilikiwa na wabia wawili tu. Wabia hao ni kampuni ya kigeni kutoka China iitwayo "Star Communication Networks Technology Company Ltd" ( 65%) na (TBC)Tanzania Broadcasting Corporation (35%) ya hapa nchini.
 
J

j2015

Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
30
Likes
15
Points
15
J

j2015

Member
Joined Jul 28, 2015
30 15 15
Startimes kwa hapa nchini inamilikiwa na wabia wawili tu. Wabia hao ni kampuni ya kigeni kutoka China iitwayo "Star Communication Networks Technology Company Ltd" ( 65%) na (TBC)Tanzania Broadcasting Corporation (35%) ya hapa nchini.
Mkuu asante hata mimi ambaye sio niliyeuliza nimeelimika. Naomba kujua kuhusu TBC2. Mbona inapatikana kwenye king'amuzi cha Star times pekee? Na hiyo channel sio free. Tatizo nini wakati hii ni local channel?
 
Forum statistics

Threads 1,236,572
Members 475,187
Posts 29,262,760