Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Mimi sijapata matangazo ya startimes leo siku ya 5 niko wilaya ya mbozi mkoa wa mbeya namba yangu ya card 01819058524
 
Kwanni kama kinascratch ITV na EATV tusijali? Emu fafanua tusije anza kuwaza kinyume
 
Channel za bongo mbona hazionekani zaidi ya tbc 1?? Au nazo zinalipiwa??

Inategemea na aina ya king'amuzi. Vya zamani ndo channeli za nchini zilikuwa bure ila vya siku hizi lazima ulipie, la sivyo utaishia kuangalia tbc tu
 
Sasa mbona hawawemi wakati tunanunua ili kama vp tuchague vingamuzi vingine kazi kutangaza tu 22,000 alaf hawasemi nn kitafuata baada ya hapo, sio fair hkn value for money
 
Kwani sheria inasemaje kuhusu channeli za ndani?? Zinalipiwa kulingana na aina ya king'amuzi au ni bure??
 
Habari mr. King'amuzi..
Mm King'amuzi changu hakishiki chaneki yyte toka last week...taa nyekundu inawaka ila ya kijani ile ya network inawaka na kupotea nimebadisha antena na cable mpya nilijua labna ina tatizo lakin bado.

nikiweka kale ka antena kadogo taa ya kijani inawaka ila sioni picha na kifurushi changu muda wake unaisha. 0
nisaidien hata kwa kulipia nitalipia ..
 
Naomba kufahamu bei halisi za ving'amuzi vya kutumia antena maana ktk Matangazo ya redio tunasikia sh 22000 ukienda madukani unaambiwa sh 52000 kwa hapa mwanza maeneo ya Igoma je hawa ni mawakala wenu au wako kibiashara tu

nimekwenda hata mjini bei ni sh48000 tuwekeni wazi au muwe na duka kama ilivyokuwa mwanzo maana mnahujumiwa na mawakala ktk ushindani wa soko muweke utaratibu wa kudhibiti hii hali vinginevyo mtaona kasi ya wateja inapungua

naomna mnielekeze duka nitakalopata king'amuzi cha antena kwa bei elekezi inayotangazwa redioni ahsante namba yangu ni 0767436100
 
Akaunti yangu ni 01819016221 na Kifurushi changu ni (Mambo Bouquet), nirudisheni nyota , Nina wiki ya Pili sionagi matangazo mu TV yangu
 
Salio la akaunti 01819016221 ni TSH:......Kifurushi changu ni (Mambo Bouquet), Japo nataka kiwe nyota kama zamani.

Akaunti yangu imesitishwa! King'amuzi changu hakishiki chaneki yyte toka last week...taa nyekundu inawaka ila ya kijani ile ya network inawaka na kupotea nimebadisha antena na cable mpya nilijua labda ina tatizo lakin bado...nikiweka kale ka antena kadogo taa ya kijani inawaka ila sioni picha na kifurushi changu muda wake unaisha..nisaidien hakika naumiaje?? ..
 
Duh! Aisee nimejipanga kukiphase out this July
Hawa jamaa dawa yao ni kuwahama tu. Channel zote nzuri ziko kwenye kisimbuzi cha antenna, Discovery Science, Fox news etc. Local channels zote wa dish lazima kulipia.
 
HAKUNA KITU KIBAYA SANA ATIKA BIASHARA KAMA UTAPELI, MY 5000TZS FOR NYOTA PACKAGE, TOKEA TAREHE 19 MARCH MPAKA LEO MMESHINDWA KUNIPATIA KIFURUSHI CHANGU, NIMESHAPIGA SIMU KADHA WA KADHA, NIKAPIGA MPAKA VODACOM WAKANITHIBITISHIA KUWA TRANSACTION ILIKAMILIKA NA WAKANITUMIA TRANSACTION ID NIKAWATUMIA NA NYIE PIA ZAIDI YA MARA 6,
KILICHOKUJA KUNIKERA ZAIDI, NI PALE NIMEPIGA SIMU MWEZI WA HUU WA 5 KUULIZIA KHS KIFURUSHI CHANGU, LAKINI MHUDUMU WENU ANANIAMBIA ETI "HICHO NI KIFURUSHI CHA 5000 TU KAKA, MBONA UNAKIFUATILIA HIVYO SINCE MARCH" YAANI NILIBOREKA SANA, I NEVER IMAGINED KAMA MNAWEZA WAJIBU HIVYO WATEJA WENU, KAMA KILIKUWA NI KIDOGO KWANINI STARTIMES MULTI-BILLION COMPANY IMESHINDWA KUNI REFUND HIYO 5000TZS PAMOJA NA KUWATHIBITISHIA TRANSACTION NILIYOFANYA?.
 
Ile ofa ya sh 46 elfu kwa king'amuzi cha dish plus 2 month free acces hapa ushirombo Geit naweza kupata wapi king'amuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…