ndiyo mkuu inawezekana hata hapa jamvini kuna thread niliwahi ianzisha kuna mdau akadai inawezekana na alitoa some tricks nilipo mtafuta kwa PM akazamia moja kwa moja akizani kuwa mim ni mkuda wa star times.
Nimesoma maelezo ya wadau wote na nimewaelewa vizuri. Hacking ni kitu ambacho kinatakiwa kifanyike kwa siri ili tuweze kufanikisha hii kitu vinginevyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu. Mimi ninashauri tricks hizi ziwe zinadiscusiwa katika e-mail ambayo ni rahisi na secure. Mimi nawasilisha e-mail yangu hapa
E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
kama unapenda dini hapo kuna miujiza na ishara na nabii zakueleweka
jamani ebu nitoeni ushamba kidogo mnachakachuaje hicho kingamuzi cha star time cos mie ninacho na nina lipia kawaida 2 so ebu nipeni ujuzi wataaalamu
khaaa!!!!sawa mkuu asante sanaa!!!nakubali!!!!!nakubalii!!!!Ukitaka kutoa error message ya NON-CONAX PROGRAM just click SUBTITLE kwenye remote yako
mkuu n pm hiz nambandiyo mkuu arusha wana frequency tofauti kama utakuwa umepitia coment zote za thread hii nauhakika ungekuwa ushapata jibu.
Maana nishawahi zitaja na wadau walitoa feedback kuwa wamefanikiwa.
Mim mwenyewe nimechakachua na inaonyesha fresh kbs
mkuu n pm hiz namba
mkuuu unayafahamu hayo maujanja ama Tukupm? Ama umeeka email yako incase issue ikitokea upewe taarifa?
Nimesoma maelezo ya wadau wote na nimewaelewa vizuri. Hacking ni kitu ambacho kinatakiwa kifanyike kwa siri ili tuweze kufanikisha hii kitu vinginevyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu. Mimi ninashauri tricks hizi ziwe zinadiscusiwa katika e-mail ambayo ni rahisi na secure. Mimi nawasilisha e-mail yangu hapa
E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
jamani kuna code mpya za kuchakachua? Jana kuna jamaa amenunua startimes akachakachuliwa na staf kwa 15000.
Mi kila nkijaribu naambiwa no chanel found
mkuu n pm hiz namba
jamani kuna code mpya za kuchakachua? Jana kuna jamaa amenunua startimes akachakachuliwa na staf kwa 15000.
Mi kila nkijaribu naambiwa no chanel found
Wizi ni wizi haijalishi ni nani unamuibia. Inaonekana mnataka dezo na mnaikosesha serikali mapato. Kwa maelezo yenu (kwa kupenda channel za dini) nyie sio Wakristo wazuri. Acheni hizo, mtubu na mtaokoka!!!