KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Sep 26, 2012 #1 Habari za kazi wanajf wenzangu eti ni kweli kampuni ya startimes na wao wameleta vingamuzi vinavyofanya kazi kwa njia ya satelite.kuna jamaa yangu kanambia alisikia tangazo lao redioni.Na kama ni kweli bei yao wanauzaje hivyo vinavyotumia satelite?
Habari za kazi wanajf wenzangu eti ni kweli kampuni ya startimes na wao wameleta vingamuzi vinavyofanya kazi kwa njia ya satelite.kuna jamaa yangu kanambia alisikia tangazo lao redioni.Na kama ni kweli bei yao wanauzaje hivyo vinavyotumia satelite?
twatwatwa JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 2,066 Reaction score 422 Sep 27, 2012 #2 Mimi ni mgeni hapa natokea kijiji