Startimes na decoder za Satelite

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Habari za kazi wanajf wenzangu eti ni kweli kampuni ya startimes na wao wameleta vingamuzi vinavyofanya kazi kwa njia ya satelite.kuna jamaa yangu kanambia alisikia tangazo lao redioni.Na kama ni kweli bei yao wanauzaje hivyo vinavyotumia satelite?
 
Back
Top Bottom