Startimes mnataka nini?

Startimes mnataka nini?

habari yako kilochindikipoporu pole kwa usumbufu ulioupata toka jana, tafadhari tambua kuwa, startimes tunaendesha kufuata sheria na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika! Local chanel ni chanel zinazopatikana katika visimbuzi vyetu bure bila kulipia. Lakini pia TBC1 one ni chanel inayopatikana hata ukichomoa kadi yako, chanel hii lazima ionyeshe, sasa endapo chanel hazionyeshi ikiwemo TBC au chanel ya ST GUIDE, basi ujue tatizo ni mfumo wa mawimbi wa kingamuzi chako. Tafadhadhari tujulishe unapata ujumbe gani juu ya king'amuzi chako sasa!
Inaandika hivi, You are not subscribed to view this channel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hello, ndugu kilochindikipoporu natumai namba yako ya simu inaishia tarakimu ...18 pole sana kwa usumbufu ulioupata, tafadhari mifumo yetu inaonyesha king'amuzi chako kiko sawa na inabidi kionyeshe chanel za nyumbani, tafadhari weka TBC1, kisha usubiri kwa muda wa dk 15, kama utaendelea kuona tatizo linaendelea tafadhari tujulishe, pia tujulishe unapatikana wapi!

ahsante na tunakutakia jumapili njema!
 
habari yako, tafadhari ukiwa na tatizo kuhusu startimes waweza wasiliana nasi kwa namba zifuatazo

0764700800 au
0677700800

au tutumie email

info.tz@startimes.com.cn
Mawasiliano Hayo Mnayotupa Siyo Mazuri
Bsdilikeni Startimes, Kampuni Nyingine Huduma Kwa Mteja Unapiga Bure

Sasa Hii Number Yenu Ni Kero Iwapo Huna Salio
Nakupa Mfano Bima Ya Afya Nhif Wana Number Ya Bure Inayoanza Na 080.......
Ambapo Mteja Akiwa Na Tatizo Anapiga Bila Malipo Yoyote.
 
Napatikana mkoa wa Mtwara mjini
hello, ndugu kilochindikipoporu natumai namba yako ya simu inaishia tarakimu ...18 pole sana kwa usumbufu ulioupata, tafadhari mifumo yetu inaonyesha king'amuzi chako kiko sawa na inabidi kionyeshe chanel za nyumbani, tafadhari weka TBC1, kisha usubiri kwa muda wa dk 15, kama utaendelea kuona tatizo linaendelea tafadhari tujulishe, pia tujulishe unapatikana wapi!

ahsante na tunakutakia jumapili njema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawasiliano Hayo Mnayotupa Siyo Mazuri
Bsdilikeni Startimes, Kampuni Nyingine Huduma Kwa Mteja Unapiga Bure

Sasa Hii Number Yenu Ni Kero Iwapo Huna Salio
Nakupa Mfano Bima Ya Afya Nhif Wana Number Ya Bure Inayoanza Na 080.......
Ambapo Mteja Akiwa Na Tatizo Anapiga Bila Malipo Yoyote.

tunashukuru kwa maoni yako, tutafikisha idara husika!
 
habari yako, tafadhari fika ofisi za startimes zilizokaribu nawe kwa msaada kuhusu local chanel

Pongezi kwa Startimes kwa kujibu haraka sana, pia msisahau kuwaambia mpo kwenye ofa kwa king'amuzi cha antenna sasa ni kwa 79,000tu pamoja na kifurushi cha Uhuru, baada ya kifurushi kuisha watalipia kifurushi kwa bei ndogo sana 8,000 kwa mwezi.
 
hello, ndugu kilochindikipoporu natumai namba yako ya simu inaishia tarakimu ...18 pole sana kwa usumbufu ulioupata, tafadhari mifumo yetu inaonyesha king'amuzi chako kiko sawa na inabidi kionyeshe chanel za nyumbani, tafadhari weka TBC1, kisha usubiri kwa muda wa dk 15, kama utaendelea kuona tatizo linaendelea tafadhari tujulishe, pia tujulishe unapatikana wapi!

ahsante na tunakutakia jumapili njema!
Jana usiku nilikuwa natazama wasafi tv na trace mziki. Ajabu leo hizipo tatizo ni nini?
 
Nilichogundua kwa haraka ni kwamba wa tz wakishabaki na channel za ndani ambazo ndio za bure basi hawalipii kabisa channel za ziada.
Sasa mjue hao startimes wana familia zinataka kula,kuvaa na kusoma pia.
Kwa hiyo lazima wajiongeze tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida nyingine ni wao wenyewe, wanapandisha bei wakati wanajua wana chaneli za bure bila taarifa.
 
Me nauliza tu kwa nn Cloudstv haionekani vifurushi vya antena??? ,,wakat ni Local TV
 
Mimi tangu CCM watulazimishe haya mambo ya dijitali naona ni usenge mtupu. Mzee Mengi alisema ni mapema sana hii mambo, au la, tungefanya kama wenzetu. Mlaji anafanya uchaguzi wa analogia au digital.
 
Nilichogundua kwa haraka ni kwamba wa tz wakishabaki na channel za ndani ambazo ndio za bure basi hawalipii kabisa channel za ziada.
Sasa mjue hao startimes wana familia zinataka kula,kuvaa na kusoma pia.
Kwa hiyo lazima wajiongeze tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama wana familia, ndo wafanye huduma za hovyo hovyo?.. Mimi mwaka jana waliniambia nilipe kiasi fulani kisha nitaona kombe la Dunia kuanzia mechi ya kwanza hadi ya mwisho, lakini wakaishia kurusha mechi moja tu kwa siku, na hiyo moja ndo ilikuwa inarushwa pia na TV1 huu ni upuuzi tu wa mchina.DSTV ndio kila kitu, wafanye hima kurejesha chaneli za ndani, ili tuachane na utapeli wa mchina.
 
Hii kampuni ya startime inakotaka kutupeleka watanzania sikuzuri kabisa, tena hii kampuni ime kaa kiwizi wizi kunahaja wahusika kuichunguza sana, king"amuzi changu huwa kinaonyesha chaneli za nyumbani bure jana chanel zikagoma kuonyesha.

Nikawapigia huduma kwa wateja muhudumu akaniambia niweke T B C baada ya dakika 15 chanel zitafunguka, tangia jana mpaka sasa nime weka Tbc na chanel bado hazija funguka,

Najiuliza hapa nimimi pekeyangu au tupo wengi tunao fanyiwa huu ujinga? haiingii akilini mtu unalipia shs 450000 kwaajilitu loco chanel zionyeshe bure alafu nyie mnazikata ivi mnatuona sisi wa Tanzania ni mambumbu sanae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi tangu jana sipati channel za ndani
Nimimebaki na TBC tu
Hata hivyo sijalipia kwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom