Startimes kuangalia channel bila kulipia zote

Leo wametangaza rasmi, jumla ya Channels 5 zitakuwa bure, uwe umelipia au la, utatazama bure mkuu...
Mkuu lakini hilo tangazo lao sio jipya, walishawahi kutangaza hivyo hivyo zaidi ya mara ya nne katika nyakati tofauti tofauti lakini hakuna kipya kilitokea.
Ninakumbuka kwa mara ya kwanza kabisa TCRA walitangaza kwa mbwembwe sana hilo la Channel za bure mwaka 2012, lakini utekelezaji wake ukabakia kuwa hadithi za wendawazimu.
 
Nahisi itakuwa tofauti sasa, kama ujuavyo mambo yanavyoendeshwa, wanajifanya kuwajibika...yetu macho..
 
Back
Top Bottom