Ni wezi. Nimelipa kifurushi cha 24,000 lakini mwezi mzima wananidanganya kuwa, mara elekeza Antena Zanzibar, Mari ielekeze Tanga
Ghali sana....Hamia dstv
Hivi bado kuna watanzania wananunua star times!!!!!!!?Nimenunua king'amuzi kwao na fundi walimtuma wao lakini hakuwa fundi bali ni kishoka tuu... .
Ni wengi mno. Ninauza electronics, wateja wengi ni wa decoder za startimes, anafuatia Azam na Digitek. Wa mwisho ni DstvHivi bado kuna watanzania wananunua star times!!!!!!!?
Hivi bado kuna watanzania wananunua star times!!!!!!!?
Hapo unaposema wanafuatiwa na Azam,Digteck na TING naomba TING itoe kabisaKing'amuzi bora kabisa kinachoongoza hapa Tanzania na Afrika kwa sasa ni DSTV na kampuni yao ya multchoice (japo vifurushi vyao ni aghali sana maana cha juu kabisa Premium ni Tshs. 215,000/= na cha chini kabisa Access/Bomba ni Tshs. 23,500/=) kwa mwezi!
Hawa jamaa kwa kweli huduma zao ni za kiwango cha kimataifa kuanzia unaponunua na kufungiwa king'amuzi chao, ubora wa picha zao pamoja na customer care service yao ni bomba
sana!
Nadhani wanafuatiwa na Azam, Digitek na TING hakuna longo longo huko!
Nimejitolea kuwa promote bila malipo na nashauri kama una uwezo hamia kwa moja ya hawa watoa huduma wa television!
Ni wezi. Nimelipa kifurushi cha 24,000 lakini mwezi mzima wananidanganya kuwa, mara elekeza Antena Zanzibar, Mari ielekeze Tanga. Nimesha ongea na kupitia number ya customer service zaidi ya mara 30 lakini wananidanganya kuwa wanamtuma fundi aje anitengenezee lakini hakuna alitokea. Mara yà mwisho fundi wao kaniambia kuwa hawezi kuja hadi nimlipe pesa. Tahadhari, usisumbuke na startimes.. .. Itakula kwako.. Kama unaishi Boko Magengeni achana na startimes
mkuu nunua Azam kama hutaki hizi bugudha za kijingakijinga! au hata zuku hawana shida japo wao ni ghali kidogo! kazi ni kwako.Ni wezi. Nimelipa kifurushi cha 24,000 lakini mwezi mzima wananidanganya kuwa, mara elekeza Antena Zanzibar, Mari ielekeze Tanga. Nimesha ongea na kupitia number ya customer service zaidi ya mara 30 lakini wananidanganya kuwa wanamtuma fundi aje anitengenezee lakini hakuna alitokea. Mara yà mwisho fundi wao kaniambia kuwa hawezi kuja hadi nimlipe pesa. Tahadhari, usisumbuke na startimes.. .. Itakula kwako.. Kama unaishi Boko Magengeni achana na startimes
Unaweza kujiunga na kifurush cha shs 23500 kwa mwez hicho ndo cha bei ya chini mimi mwenyewe ndo nimejiunga hichoGhali sana....