Start From Now: I'm CCM, Real CCM

Kweli mkuu, walioferi ndo wako busy na Makonda as if wao walifauru
 
Hivi kwani hapa Tz vyama ni CCM na CHADEMA tu ? Vyama viko vingi tunaweza kuamua watanzania tukaangalia chama gani kingine kina sera nzuri na tukakipa nguvu na kikajipanga zaidi tukawapa tu dola ili kuachana na hivi vyama viwili.
Mimi nimeamua CCM!!
 
Exactly!!
Wengi wanao ng'ang'ania vyeti vya makonda ni failure waliosota sana kielimu
 
Afadhali ya mm naumwa hiv lakini ww unaumwa ugonjwa wa kupenda manjano na kijani
 
miaka 50 ya UHURU nchi hii haijawahi kuongozwa na upinzani kwahiyo matatizo yooote mpaka hapa tulipo ni CCM inahusika,je?ni lipi jipya tutalipata kutoka CCM kwa miaka hii kumi wakati imetutawala kwa miaka 50 na bado hali sio nzuri?yani aliyesababisha uozo wooote huu autoe yeye mwenyewe uozo wake halafu ashangilie?nchi nyingi ambazo zina maendeleo ni zile nchi ambazo watu wake wamewahi kushikishana adabu kiasi kwamba hakuna mtu wa kumletea dharau mwingine na pia vyama vinavyoongoza muda mrefu pia vinatatizo la kuwa na dharau ni lazima vitolewe madarakani ili hata vikija kurudi vitakuwa vimepata jambo la kujifunza.
 
nenda ukawe mwana ccm bana uwe unatumwa kuja kututeka....tushawazoea
 
Huyu pombe huyu?
Namchukia sana huwa sitaman hata kumuona. Nikiangalia channel yyte ile nikamkuta nabadilisha faster hata kwenye radio hivyo. Sitaki kumsikia kiongoz yyte wa ccm hata awe nani. Ambaye naweza kusikiliza speech zake kidogo Kikwete na Nyerere. Wengine hao ni takataka kbsa. Sijui kairuki, ndalichako, hiyo yote ni taka taka kwangu.
 
Sawa naamini kakuelewa,ila acha kuquote thread ndefu
 
Hiyo ID nyingine unaogopa nini kuitaja ili tuhakikishe kauli yako!?

Wa kongwe wa JF wananitambua.

Kabla ya kubadili ID hii nilikuwa natumia ID nyingine ambayo ulikuwa hukosi thread kila siku kuipaisha chadema humu, uzi wangu ulikuwa gumzo humu.
 
Wewe uliyeleta uzi huu utuambie kwanza sisiem inafanya nini cha maana sasa hivi. Kuua watu kwa njaa? Kila mahali watu wanalia! Sort out your home first before you talk about chama tawala which is hated by over 50% of people. Ask me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…