General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
- Thread starter
-
- #41
Asante mkuu.Hongera sana. Sisi wengine sio wanachama wa chama chochote cha siasa ila busara zinaonesha umefanya uamuzi sahihi
Ni habari kubwa kwa CCM kupokea mwanachama mpya, msomi na mwana mikakati.Kweli, bora ukae huko kwa mambumbumbu wenzako. Mimi nilipoona "News alert" nilijua itakuwa ni habari kubwa na mpya. Kumbe siyo! Hujaitendea haki jamii forum ambayo ni uwanja wa kuelimisha, kuhabarisha na kujadili masuala nyeti ya Taifa. Shame on you!
k
Chama kimezidi kuwa mali ya Mbowe ,ni shiiiidaHakika!!
Chadema ni dhaidu zaidi pamoja na mapungufu CCM.
Ni bora kuendelea na CCM kuliko hawa ambao hujui wanataka kuja kufanya nn wakishika dola
Hakika!!Ni haki yako hakuna wa kukuzuia.
Siku MAgufuli akikabidhiwa uenyekiti, Hapata kalikaa, nitajiunga na chama
Masikini wa Mawazo wewe mchumia tumbo haya kachukue posho yako buku 3.toka Lini ulikuwa Cdm sio I'd mpya sema Nina ids 7Wa kongwe wa JF wananitambua.
Kabla ya kubadili ID hii nilikuwa natumia ID nyingine ambayo ulikuwa hukosi thread kila siku kuipaisha chadema humu, uzi wangu ulikuwa gumzo humu.
Matatizo yanapoikumba Nchi hugharimu wote.Njaaa yako iko parepare uwe ccm uwe chadema raazima utaisoma no.tu
CCM kwa sasa ni kama kondoo wa mfalme siyo bungeni wala serikalini. Na bado mpaka mnyooke Magufuli kanyaga hapo hapo.Chama kimezidi kuwa mali ya Mbowe ,ni shiiiida
Nikweli mkuu CDM ni dhaidu lakini CCM wote pamoja na wewe ni DhaifuHakika!!
Chadema ni dhaidu zaidi pamoja na mapungufu CCM.
Ni bora kuendelea na CCM kuliko hawa ambao hujui wanataka kuja kufanya nn wakishika dola
Matapeli walio wapotezewa watu makini muda wao.Chadema ni majizi na matapeli wakubwa wa nchi hii
Asante Mkuu!!Hizo ni Biashara za watu tu, karibu kwenye Chama cha siasa pekee hapa nchini.
Sikuwa ccm, ndio nimahamia rasmi ccmYaan nilivyosoma title tu nikajua wewe ni CCM..mods msi edit hyo title iacheni hivyo hivyo inamaana kubwa sana