Ukiwa ccm sisi inatuhusu nini?Hakika nathubutu kusema wazi kwamba nimeamua kuwa Mwana CCM mtiifu.
Nimebaini kwamba kwa mtindo wa siasa za upinzani hakika hakuna jipya wanalolipigania, ni maneno mengi yasio na maana.
Nilishindwa kuelewa target kubwa ya Chadema katika siasa zetu, nikiiangalia na ACT naona ni kichaka cha kiongozi wao kujinufaisha kimaisha.
Niliipa iman UKAWA kiasi kwqmba ilinibidi nitumie nauli ya zaidi 40,000 kwenda kumpigia mgombea wao kura.
Pamoja na kwamba nilitambua kwamba hakuwa na sifa njema za kuiongoza nchi lkn nilibakia na msimamo kuwa chama ni taasisi hivyo angeweza kuendana na sera na itikadi ya chama katika kuongoza nchi.
Baada ya uchaguzi ule nimetafakari kwa muda mrefu na kubaini kuwa nilifanya makosa kumuunga mgombea wa chadema mkono. Niligundua kuwa Chadema hawakuwa serious kushika dola.
Tukiachana na uchaguzi ule, pia nimebaini kwa sasa hakuna kipya ambacho chadema wana target. Ukiiangalia kwa makini unagundua Chadema wana dandia vitu vidogo kufanya ajenda ya kujijenga kisiasa.
Yani leo Chadema inamtumia Makonda kujijenga kisiasa. Wabunge na wafuasi wa chama hiki wamejikita kwa vitu vidogo vidogo kwa kupambana na Makonda kuhusu jina lake halisi.
Ukiangalia matatizo ambayo seriously yanatuumiza wananchi kama gharama za maisha kupanda ikichangiwa na mfumuko wa bei, biashara kudorora, bandari kukosa wateja, kodi nyingi nk. Lakini pamoja na yote haya sijaona kamati kuu ya chadema ikikaa na kuyajadili haya zaidi ya kujadili Makonda kupambana na Madawa ya kulevya.
Yote haya yamechangiwa na kuwa na Mwenyekiti ambaye uwezo wa kielimu ni mdogo.
Cadema kwa sasa imejikita katima uharakati, pasipo kuangalia nini hasa kina hitajika kwa wananchi.
Baada ya kung'amua yote haya nibebaini pamoja Mapungufu madogo madogk ya Rais wangu na CCM ni heri huku kuliko madhaifu makubwa ya Chadema.
Natambua kwamba Rais Magufuli anamapungufu kama binadam wengine ambayo yake yanaweza kurekebishika haraka kuliko madhaifu ya chadema ambayo tumeshuhudia kwa miaka mingi.
Hivyo kwa kuhitimisha nimalize kwa kusema kwamba, nimeamua kuwa mwana CCM mwaminifu na mtiifu.
Naamini kuijenga nchi kama Mwana CCM na mtanzania mzalendo.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
General Mangi
NonsenseHakika nathubutu kusema wazi kwamba nimeamua kuwa Mwana CCM mtiifu.

Unao ushahidi wa mtumishi anae tumia cheti bandia?Sikuulizi ni msemo nimeusikia recently, anywayz Taifa linahitaji JUSTICE kwanza huo ndio msingi wa kila kitu, huwezi kupata maendeleo with absence of justice, ni kweli issue ya bashite ni ndogo lakini impact yake inatake national coverage kwa wale wote wenye kumuunga mkono Mh. juu ya vita dhidi ya vyeti feki, nikiwemo mimi. justice justice justice
Bashite mkubwa weweWa kongwe wa JF wananitambua.
Kabla ya kubadili ID hii nilikuwa natumia ID nyingine ambayo ulikuwa hukosi thread kila siku kuipaisha chadema humu, uzi wangu ulikuwa gumzo humu.
What sense?Nonsense
Baada ya coner bar kufungwa huna pa kupatia watejaMimi pia nimehamia CCM
Mkuu tafadhali sana.
Sina njaa kama unavyofikiri, na wala sihitaji chochote kulipwa kufanya haya.
Kwanza utambue hakuna kiongozi au mwana lumbumba anae fahqm ID yangu, hivyo sina maslai yoyote ya kifedha au mali kufanya maamuzi haya.
Ibainike wazi hii ni demokrasia, kutoka upinzani kwenda CCM ni demokeasia, naomba utambue hivyo, usiongizwe na hisia, tumia akili kufikiri
Kijana msomi, embu jenga hoja kwa kuweka hoja.Wakati unaandika hii kitu ulikuwa umemeza zile dawa zako ulizopewa kule ktk Hosp. ile maarufu kwa akina AGWE kweli? Naona dawa hizo zinakukataa jiandae sasa kuwa chizz kamili.
Nimetoa taarifa tu mkuu.Kama ni demokrasia unataka tukusaidie nini?
Nimetoa taarifa tu mkuu.
Sihitaji msaada wowote
Vipi umeasi kambi ?Unataka tukusaideje sasa? kama umeamua kuwa mwanaccm mtiifu ni maamuzi yako. Kwa aliyeenda shule na kuufuta ubashite ni dhahiri kwamba wewe ni Lumumba mzoefu tuu ila umeingia humu kupima upepo na thread yako ya kibashite bashite. Otherwise huna jipya tuu...unasaka tonge kama wana Lumumba wenzako. Ni maisha. Hakuna anayeweza kukulaumu. Nchi ya Magufuli ngumu sana. Kila mtu anatafuta namna ya kusogeza siku!
Hakika nathubutu kusema wazi kwamba nimeamua kuwa Mwana CCM mtiifu.
Nimebaini kwamba kwa mtindo wa siasa za upinzani hakika hakuna jipya wanalolipigania, ni maneno mengi yasio na maana.
Nilishindwa kuelewa target kubwa ya Chadema katika siasa zetu, nikiiangalia na ACT naona ni kichaka cha kiongozi wao kujinufaisha kimaisha.
Niliipa iman UKAWA kiasi kwqmba ilinibidi nitumie nauli ya zaidi 40,000 kwenda kumpigia mgombea wao kura.
Pamoja na kwamba nilitambua kwamba hakuwa na sifa njema za kuiongoza nchi lkn nilibakia na msimamo kuwa chama ni taasisi hivyo angeweza kuendana na sera na itikadi ya chama katika kuongoza nchi.
Baada ya uchaguzi ule nimetafakari kwa muda mrefu na kubaini kuwa nilifanya makosa kumuunga mgombea wa chadema mkono. Niligundua kuwa Chadema hawakuwa serious kushika dola.
Tukiachana na uchaguzi ule, pia nimebaini kwa sasa hakuna kipya ambacho chadema wana target. Ukiiangalia kwa makini unagundua Chadema wana dandia vitu vidogo kufanya ajenda ya kujijenga kisiasa.
Yani leo Chadema inamtumia Makonda kujijenga kisiasa. Wabunge na wafuasi wa chama hiki wamejikita kwa vitu vidogo vidogo kwa kupambana na Makonda kuhusu jina lake halisi.
Ukiangalia matatizo ambayo seriously yanatuumiza wananchi kama gharama za maisha kupanda ikichangiwa na mfumuko wa bei, biashara kudorora, bandari kukosa wateja, kodi nyingi nk. Lakini pamoja na yote haya sijaona kamati kuu ya chadema ikikaa na kuyajadili haya zaidi ya kujadili Makonda kupambana na Madawa ya kulevya.
Yote haya yamechangiwa na kuwa na Mwenyekiti ambaye uwezo wa kielimu ni mdogo.
Cadema kwa sasa imejikita katima uharakati, pasipo kuangalia nini hasa kina hitajika kwa wananchi.
Baada ya kung'amua yote haya nibebaini pamoja Mapungufu madogo madogk ya Rais wangu na CCM ni heri huku kuliko madhaifu makubwa ya Chadema.
Natambua kwamba Rais Magufuli anamapungufu kama binadam wengine ambayo yake yanaweza kurekebishika haraka kuliko madhaifu ya chadema ambayo tumeshuhudia kwa miaka mingi.
Hivyo kwa kuhitimisha nimalize kwa kusema kwamba, nimeamua kuwa mwana CCM mwaminifu na mtiifu.
Naamini kuijenga nchi kama Mwana CCM na mtanzania mzalendo.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
General Mangi
Mi ni mkongwe hapa na sikutambuiWa kongwe wa JF wananitambua.
Kabla ya kubadili ID hii nilikuwa natumia ID nyingine ambayo ulikuwa hukosi thread kila siku kuipaisha chadema humu, uzi wangu ulikuwa gumzo humu.
Kwa wana JF, ww ukiwa mhusika piaTaarifa kwa nani?
Imeshindwa kuona ubinafsi Wa Ccm kkHakika nathubutu kusema wazi kwamba nimeamua kuwa Mwana CCM mtiifu.
Nimebaini kwamba kwa mtindo wa siasa za upinzani hakika hakuna jipya wanalolipigania, ni maneno mengi yasio na maana.
Nilishindwa kuelewa target kubwa ya Chadema katika siasa zetu, nikiiangalia na ACT naona ni kichaka cha kiongozi wao kujinufaisha kimaisha.
Niliipa iman UKAWA kiasi kwqmba ilinibidi nitumie nauli ya zaidi 40,000 kwenda kumpigia mgombea wao kura.
Pamoja na kwamba nilitambua kwamba hakuwa na sifa njema za kuiongoza nchi lkn nilibakia na msimamo kuwa chama ni taasisi hivyo angeweza kuendana na sera na itikadi ya chama katika kuongoza nchi.
Baada ya uchaguzi ule nimetafakari kwa muda mrefu na kubaini kuwa nilifanya makosa kumuunga mgombea wa chadema mkono. Niligundua kuwa Chadema hawakuwa serious kushika dola.
Tukiachana na uchaguzi ule, pia nimebaini kwa sasa hakuna kipya ambacho chadema wana target. Ukiiangalia kwa makini unagundua Chadema wana dandia vitu vidogo kufanya ajenda ya kujijenga kisiasa.
Yani leo Chadema inamtumia Makonda kujijenga kisiasa. Wabunge na wafuasi wa chama hiki wamejikita kwa vitu vidogo vidogo kwa kupambana na Makonda kuhusu jina lake halisi.
Ukiangalia matatizo ambayo seriously yanatuumiza wananchi kama gharama za maisha kupanda ikichangiwa na mfumuko wa bei, biashara kudorora, bandari kukosa wateja, kodi nyingi nk. Lakini pamoja na yote haya sijaona kamati kuu ya chadema ikikaa na kuyajadili haya zaidi ya kujadili Makonda kupambana na Madawa ya kulevya.
Yote haya yamechangiwa na kuwa na Mwenyekiti ambaye uwezo wa kielimu ni mdogo.
Cadema kwa sasa imejikita katima uharakati, pasipo kuangalia nini hasa kina hitajika kwa wananchi.
Baada ya kung'amua yote haya nibebaini pamoja Mapungufu madogo madogk ya Rais wangu na CCM ni heri huku kuliko madhaifu makubwa ya Chadema.
Natambua kwamba Rais Magufuli anamapungufu kama binadam wengine ambayo yake yanaweza kurekebishika haraka kuliko madhaifu ya chadema ambayo tumeshuhudia kwa miaka mingi.
Hivyo kwa kuhitimisha nimalize kwa kusema kwamba, nimeamua kuwa mwana CCM mwaminifu na mtiifu.
Naamini kuijenga nchi kama Mwana CCM na mtanzania mzalendo.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
General Mangi
Mkuu pamoja na huo unaouita ubinafsi wa ccm, lkn hakika bora hivyo kuliko chadema.Imeshindwa kuona ubinafsi Wa Ccm kk