Stars naipenda but sio tanzania


I

ISAAC11

Member
Joined
Jan 12, 2013
Messages
94
Likes
0
Points
0
I

ISAAC11

Member
Joined Jan 12, 2013
94 0 0
Msiwa wajinga jamani timu kama timu ya mpira tumeiona ikicheza ile sio rushwa wala ufisadi so acheni ku-compare Taifa stars na CCM vijana tumewaona wakihangaika sio wakina lowasa wenye account za siri nje ya nchi so achana mambo ya kuponda stars thats football not politics .Angalieni Libya ipo nafasi ya ngapi kusoka africa japo nchi yenyewe inamatatizo but tukija kwenye mpira zote tutoe support .Hii ni kama mtu na baba au mama yake ...haina maana kama baba anafanya mambo ya kijinga ndio umchukie na mama yako hapo na ww utakuwa mjinga so BIG up Taifa Stars U did what it takes!
 

Forum statistics

Threads 1,273,853
Members 490,528
Posts 30,493,527