JOYOPAPASI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 250
- 408
SI DHAMBI KAMA TAIFA TUKIANZA MJADALA WA KUWAPA URAIA KINA MAYELE, MUKOKO, MBANGALA NK KUITUMIKIA TAIFA STARS
Binafsi Mimi ni Shabiki wa Yanga, ila Naomba wakati najadili haya naomba muweke ushabiki wangu pembeni, nimekuwa moja ya wafuatililiaji, washabiki wa timu yetu ya Taifa kindakindaki TAIFA STARS.
Nimekuwa moja ya Washabiki wake, ambaye ninaenda kuitizama timu yetu kwa kukata tamaa, pamoja Kuwa kuna baadhi ya namba na sehemu timu yetu imekuwa ikifanya vizuri, Lakini bado ina matokeo yasiyoridhisha.
NINI KIFANYIKE KWA SISI WATANZANIA, TFF NA TAIFA KWA UJUMLA
Pia nimekuwa naangalia mchezaji mmoja mmoja katika timu za vilabu, nikajikuta naishia kuiangalia Yanga kwa umakini mkubwa, Timu ya Yanga imebarikiwa Kuwa na wachezaji wazuri sana wa kila eneo tatizo wengi wamekuwa si watanzania na ambao hawaitwi timu zao za taifa, nikaona makala hii tushauriane.
Nikiwaangalia wachezaji wachache kama MAYELE, Mukoko Tonombe, Bangala, Yakoub, nk nikaona tushauriane kama taifa kwani si dhambi, kwangu mimi ninaishauri TFF kama kweli wana nia njema na mpira wetu, basi wakutane haraka na kamati ya ushindi iliyoundwa na Waziri Mkuu wawaite wachezaji hao na wengine waone kama wana uwezo wa kuwapa uraia kama Kibu Denis ili yajayo waitumikie timu yetu ya Taifa.
Kwangu mimi nikiwaangalia wachezaji wetu wa nyuma, kati na Mbele tukiwaongeza wachezaji hao naamini tutafanya vizuri vizuri na kuwapa Raha watanzania wengi wenye mapenzi makubwa na timu yao ya taifa.
Naomba kuwasilisha na #KaziIendeleeNaRSSH