Stars Fungu la Kukosa Misri

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,214
Taifa Stars a.k.a JK eleven, wameshindwa hata kupata milioni 40 za mshindi wa tano baada ya kuchapwa na Sudan 2 - 0. Tunaweza nini wandugu?

sio tetesi jamani ni kweli, sorry kwa neno tetesi
 
Naanza kupata wasi wasi na uwezo wa kocha wetu ktk mashindano siriazi, nahisi tunarudi nyuma kama ilivyokuwa kabla ya maximo.
 
Back
Top Bottom