Starring ya gari kuwa ngumu kukata kona.

swamila

Senior Member
Apr 4, 2015
176
81
Wanajamvi nini kinasababisha starring ya gari inakuwa ngumu unapokuwa unadrive hususani ktk kupiga kona?
 
Wanajamvi nini kinasababisha starring ya gari inakuwa ngumu unapokuwa unadrive hususani ktk kupiga kona?
Kama gari yako inatumia power steering, kuna mambo mawili ambayo huenda mojawapo linaleta shida hiyo.
  1. Power Steering controller imechoka (hapa utahitaji kubadili nyingine). Hii huzungushwa na belt kule kwenye injini
  2. Mafuta ya hydraulic ya power steering yamekwisha.
 
Steering wheel kuwa ngumu inasababishwa na ukosefu/kuisha kwa kilainishi chake. magari mengi yanatumia " automatic hydraulic oil inayowekwa kwy gearbox kama kilainishi.

Mkuu yaelekea huwa hufungui bonet ya gari yako kabisa kwa ajili ya kukagua "fluids"
 
 

Babuu blessed Sijachanganya hata kidogo. Kama ulikuwa hujui ni kwamba oil ya gearbox ya hizi gari auto ndio hiyo hiyo inawekwa kwenye mkebe wa oil ya power steering. Nilishawahi kuwa na hili tatizo kwy kigari changu na kisolve hilo tatizo kwa kuweka hiyo oil ya gearbox. Uliza wataalam watakuambia.
 
Angalau wewe umeonyesha mwelekeo

Ushajua ni gari gani kama Landrover 109.

Wewe aujuwi magari sio lazima Kila gari liwe na mkebe wa hydroulic fuel.... Mleta mada ingekuwa vizuri ukasema na aina YA gariiii
Wewe uzi mzima kazi yako kukosoa tu, ushauri wako uko wapi?
 
Mkuu uko vizuri inaonesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…