Starlet inauzwa - bei ya kutupa

Kisiwa

Senior Member
Oct 18, 2010
125
19
Ipo katika hali nzuri kabisa.
Alarm sytem
Remote key less
etc
Sababu ya kuuza: Nimeagiza gari nyingine
Bei: Tshs 5,000,000
Jinsi ya kuiona: Jtatu hadi Ijumaa MWANZA
JUMAMOSI NA JUMAPILI SHINYANGA

PM kama unahitaji
check picha hapa chini
 
Attachments

  • IMG_20140610_185300.jpg
    364.6 KB · Views: 814
  • IMG_20140610_185325.jpg
    482.8 KB · Views: 676
  • IMG_20140610_185345.jpg
    455 KB · Views: 653
  • IMG_20140610_185409.jpg
    402.1 KB · Views: 596
  • IMG_20140610_185607.jpg
    388 KB · Views: 552
Hizo siyo gari mkuu mimi hata milioni kweli sinunui kabisa.
 
Ss kuna mark 2 gx 100 iko poa kw m4 na kistalet m5 huu c wiz wa machon.du man ucione watu wa mikoani ni vipofu. Ukiingia B foward ukicheki magar bei poaaa utastaajabu.hiyo M5 unaagira rava4
 
Bei siyo tatizo, Tatizo ni ya mwaka gani, imeingia lini nchini na pia imetembea kilomita ngapi.

Nadhani suala la wewe kuficha namba za usajili halijatokea kwa bahati mbaya, utakuwa ulimaanisha.
 
Watu kwa kuongea msichojua!!!!

Ss kuna mark 2 gx 100 iko poa kw m4 na kistalet m5 huu c wiz wa machon.du man ucione watu wa mikoani ni vipofu. Ukiingia B foward ukicheki magar bei poaaa utastaajabu.hiyo M5 unaagira rava4
 
Ss kuna mark 2 gx 100 iko poa kw m4 na kistalet m5 huu c wiz wa machon.du man ucione watu wa mikoani ni vipofu. Ukiingia B foward ukicheki magar bei poaaa utastaajabu.hiyo M5 unaagira rava4

Mkuu kuna kitu kinaitwa economy cars na less economy cats kwenye upande wa mafuta. leo ukiingia soko la hapa Bongo utaweza pata GX110 kwa tshs 6,000,000/= lakini huwezi pata toyota IST kwa hiyo bei. Ukiagiza hizo gari mbili kutoka nje definately IST will be cheaper
 
hongera kwa rangi hiyo garage ya mchina nini? maana duuh kamependeza
 
Ss kuna mark 2 gx 100 iko poa kw m4 na kistalet m5 huu c wiz wa machon.du man ucione watu wa mikoani ni vipofu. Ukiingia B foward ukicheki magar bei poaaa utastaajabu.hiyo M5 unaagira rava4
Toka nimejiumga JF miaka mingi ilopta sijawah ona pumba hii
 
Sasa si ungesema unauza kwa watu wa mwanza na shinyanga tu uliowawekea ratiba ya kuliona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…