Starlet glanza for sale

Starlet glanza for sale

Ahlan

Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
32
Reaction score
5
wakuu nauza gari langu starlet glanza yenye specifications zifuatazo:
Registration number:T527ASE
Make: Toyota
Model: starlet
body type:saloon closed top
Colour: black
Engine capacity: 1330
fuel used: petrlol
Also ni automatic.
Seating capacity: 5 passengers
Imported from japan.

Bei: million 4.8

Note: gari imelipiwa insurance na motor vehicle mpaka July 2015.
Gari lipo katika hali nzuri sana
Unaruhusiwa kuja na fundi wako kucheck ili kujihakikishia.
Hakuna udalali mmiliki ni Mimi.
Gari lina fire extinguisher....DVD player.....na triangle tayar.
Ukinunua unaingia barabarani moja kwa moja.

Karibu tufanye biashara aliye serious...maelezo yameshiba....sorry for previous post haikuwa clear.
 

Attachments

  • 1416551737534.jpg
    1416551737534.jpg
    86.2 KB · Views: 788
Nauza gari aina ya starlet glanza imetengenezwa 1999...engine capacity 990cc...iko katka condition nzuri...offer Yang ni 4.8...million.kama unahitaji nipigie 0658904648.nipo daresalaam...mmiliki ni Mimi...dalali haitajiki
Mbona bei juu?
 
Duuh sorry wakuu nimekosea kuandika engine capacity ni cc 1330...Injini haijawahi kuguswa.LA ziada gari ishalipiwa insurance na motor vehicle mpaka July mwakani
 
Ofa yangu 4mil kama inalipa ni PM,ila sema gari iko mkoa gani na mileage
 
Back
Top Bottom