Starehe yako ni ipi?

Starehe yako ni ipi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,154
Reaction score
55,648
Baada ya miangaiko yangu ya hapa na pale,huwa naenda maeneo yenye utulivu na kupata moja moto moja baridi,na kama nitapata nafasi najaribu kuosha macho hapa na pale kwa kuangalia maua ya dunia yanavyopendezesha mji.Najua kila mmoja ana starehe zake,eleza za kwako.......
 
Hiyo Hapo
tapatalk_1496328033797.jpeg
 
Hakuna starehe nzuri kama kuingia church moyo hauna hatia then kumuabudu Mungu hadi Mbingu na utukufu ni kama vimeshuka, unatoka job umechoka sana then unaingia gym piga zoezi la kueleweka jasho kila sehemu unakula then unaoga mwili na nafsi vinaungana hata ukilala unashtuka asubuhi yaani.
 
Enzi zangu ilikuwa Billicanas na Mambo Club siku hizi Tips,Samaki samaki Masaki na Kidibwi
 
Enzi zangu ilikuwa Billicanas na Mambo Club siku hizi Tips,Samaki samaki Masaki na Kidibwi

mkuu TCA kwa sasa kiwanje gani kinabamba Zaidi dar? mi mara mwisho kuwa huko iilikuwa ni Maisha club ya peninsula kule
 
Ugomvi.. Napenda ugomvi lazima nikudunde au nirushie watu mawe na sikukosi nina shabaha Licha ya ulevi wangu
Kupiga makelele lazima usiku niimbe kwa sauti nisumbue watu

Kutukana watu yaani nikitoka bar lazima nitukane watu au niingie huku nitukane watu mfano we mtoa Mada nakutukana "hijo de puta "

Namalizia na pombee...hii ndo inanipa sababu ya kuishi

I love you pombe
 
mkuu TCA kwa sasa kiwanje gani kinabamba Zaidi dar? mi mara mwisho kuwa huko iilikuwa ni Maisha club ya peninsula kule

Maisha club ili hama pale Morogoro store ,ikaja makumbusho now ipo ITV.Club nyingine zipo masaki kama AVOC na Masion .Kwasasa umri umesogea Club sizijui kabisa bali huwa na enda kwenye bar za aina hizo nilizo taja hapo juu.
 
Back
Top Bottom