Za nyieeeee..
Mapenzi,mapenzi,nakuita tena xxx.
Ni starehe ya mda mfupi sana,ila majuto yake yanadumu milele.
Ninapozungumzia majuto,nina maana hii.
Kuna kipindi mtu unashikwa na ugwagwadu wa maana mpaka ukiona midoli unatamani kuichakachua,sasa hali inawapataga wanaume tena inawafanya wanauza mechi kwa timu za ajabu.
Ndo chanzo kikubwa cha kupata magonjwa ya zinaa,na kujikuta una fanya mapenzi na mtu usiyempenda kisa nyege za hatari.
Wengi wao leo wanaishi na watu wasiowapenda,kwa sababu ya tamaa za mapenzi.
Ukishafanya tu haya mapenzi na ukapinzi,akili ndo inakuja kichwani,ukiangalia pembeni,umefanya mapenzi na..
Chizi
Malaya
Shoga
Ndugu yako wa damu
Rafiki yako unamuheshimu.
Yote hayo kisa..
Tamaa
Nyege
Mapenzi ni starehe ya mda mfupi sana,tena ya kipumbavu sana,ila majuto yake ni ya mda mrefu sana.
Hakuna kitu kinakera kama umemuonga mwanamke pesa kibao,alafu unaenda kufanya mapenzi tena wavungu walivyokuwa hawana maana wanatoka chapu.
Ndugu zangu hakuna majuto mabaya kama kutembea na mtu usiyempenda yani kila saa ukifikiria unajikuta unatema mate chini,maana umenyonya mdomo wa mtu usiyempenda.
Approximately ndo yule yule..