Starehe kuliko kazi miyayusho! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Starehe kuliko kazi miyayusho!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Profee Essoree, Sep 20, 2011.

 1. Profee Essoree

  Profee Essoree Member

  #1
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me nahisi hapa TanzaniaKwetu kinachoturudisha nyuma ni starehe tu hakuna kingine!

  Hili wadau mnasemaje?
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Usirahisishe hivyo msingi wa matatizo yetu. Unadhani ni wote wanaoshiriki hiyo starehe? Kwa uwezo upi?
   
Loading...