Stara Thomas!

amechukue na mumewe maana bado ni hasara akimuacha tcc club chang'ombe akila maisha na viche**** vijana kwa wazee ni hasara mbinguni na ktk mfuko wa stara pia. Bwana ampe nguvu amvute na mumewe!!!
Bwana alisema atakuokoa wewe pamoja na nyumba yako.
Hivyo wakati wa bawana ukifika na mme wake ataokolewa pia
 
hakuna jipya wapo wenzake wengi wamenena hilo na wanaendelea... Uchafu wao ngoja tuone.
wewe huna sauti ya kumkataza mwenzako kufanya kile anachokitaka.
wala huna hukumu yeyote kwa mwenzako, mwachie Mungu ndiye mwenye hukumu.
je wewe ni msafi kiasi gani?
 

Kwamba huyu Yesu ambaye mimi namwamini sana yupo makanisa fulani tu?, na hivyo ukimtaka inabidi uhame kanisa!? Je ndivyo Yesu Kristo alivyofundisha?

Hayo ndio mafundisho yanayoendelea katika haya makanisa ya kisasa kuwa eti Yesu yupo kwenye hayo makanisa yao na kuwashawishi watu wahame makanisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…