kweli kabisaMwache afurahie mafanikio yake,hata asingekuwa mwanamziki bado anagekuwa anadrive mandinga kama hayo,kwani baba yake mzazi net worth yake ni zaidi ya USD mil 700.Kwa kifupi jamaa amezaliwa kazikuta hela na yeye anazidi kutengeneza hela zake binafsi.
naonaunawashwa Ngoja tuje waufipa tukupumulieUfipa watapinga wataenda kwa wakili wao wamshitaki kijana Davido kwa kujali maendeleo ya vitu sio watu
Ngoja tusubiri barua ya vitisho
Huu ni ukichaa sasa.Ufipa watapinga wataenda kwa wakili wao wamshitaki kijana Davido kwa kujali maendeleo ya vitu sio watu
Ngoja tusubiri barua ya vitisho
umechanganyikiwa sio bure ..siasa zinawafanya mnakua vichaa ..davido na siasa za tanzania zinalandana vipiUfipa watapinga wataenda kwa wakili wao wamshitaki kijana Davido kwa kujali maendeleo ya vitu sio watu
Ngoja tusubiri barua ya vitisho
Mmbongo mpe kichwa, habari yote ataongezeaDavido kwao mambo Safi
Toka mama yake mzazi afariki mshua anamdekeza kama yai, na IAM sure huo mkoko mdingi wake ndo kamnunulia, maana mzee anamiliki mayatch, jets, migodi ya kufa mtu..
So vitu vingi mshua ndo anampaga kama zawadi
Davido kwao mambo Safi
Toka mama yake mzazi afariki mshua anamdekeza kama yai, na IAM sure huo mkoko mdingi wake ndo kamnunulia, maana mzee anamiliki mayatch, jets, migodi ya kufa mtu..
So vitu vingi mshua ndo anampaga kama zawadi
We muhaya mbona unanifata fata kwenye kila comment yangu?Mmbongo mpe kichwa, habari yote ataongezea
pamoja na hilo lakini Davido kupitia muziki anatengeneza pesa nyingi sana, hivyo kununua gari Kama hilo ni kawaida sana kwake.Davido kwao mambo Safi
Toka mama yake mzazi afariki mshua anamdekeza kama yai, na IAM sure huo mkoko mdingi wake ndo kamnunulia, maana mzee anamiliki mayatch, jets, migodi ya kufa mtu..
So vitu vingi mshua ndo anampaga kama zawadi
Hana kituMkuu wewe mshua wako anakupa zawadi?
Connect.Ufipa watapinga wataenda kwa wakili wao wamshitaki kijana Davido kwa kujali maendeleo ya vitu sio watu
Ngoja tusubiri barua ya vitisho
Ukiwa ufipa ni mzigo maishani kichwa kinakuwepo kwa ajili ya kuhifadhia vitu kero kama kamasi badala ya kufikiri.Ufipa watapinga wataenda kwa wakili wao wamshitaki kijana Davido kwa kujali maendeleo ya vitu sio watu
Ngoja tusubiri barua ya vitisho
Tuache Wafipa AiseeUfipa watapinga wataenda kwa wakili wao wamshitaki kijana Davido kwa kujali maendeleo ya vitu sio watu
Ngoja tusubiri barua ya vitisho