Star TV, UKAWA wapo Millenium Tower Live

nimefikiri sana, jambo ambalo ni gumu sana kukubalika na CHADEMA, BADALA YA KUMUWEKA slaa awe mgombea, muwekeni lipumba na chadema wote na cuf mpigieni kampeni lipumba, tutaweza kumshinda kabisa magufuli, ila tukigawana kura kama kiwete alivyokuwa anasema jana, lipumba atachukua zake chache chadema chache na nyingi watabaki nazo kina maccm. chukueni ushauri huu. mimi ni chadema lakini nimefikiri sana namna gani tunaweza kumvunja shingo huyo nyoka anayeitwa ccm, nikaona bora tujifanye wajinga tu tumpe profesa.
 
naunga mkono hoja,lipumba ni counter attack nzuri kabisa,na wala kumsimamisha profesa si kujifanya wajinga,ni candidate sahihi.
 
Ukawa wajikite katika kutafuta wabunge wa kutosha kwenye uraisi huenda ikawa landslide in John Pombe's favor
 
Mkuu unajisumbua bure Chadema hawawezi kukubali bora kila mtu aingie kivyake kwenye uchaguzi wapate kura mbili mbili.
 
Yaani nchi iongozwe na padre? Bora nife
hapa tusiingize udini,. kwasababu kama nchi kuongozwa na padre, mbona mwinyi ni shehe na ameongoza nchi vizuri tu. usiwe mdini, tuungane pamoja cuf na chadema ili kuwashinda ccm, la sivyo nchi itabaki hivyohivyo. inavyoonekana wewe kichwa chako kimejaa mavi tena ya uharo ndio maana hata haujajua nini inalenga.
 
Wana JF naomba kutoa angalizo kwa ukawa makini na kuwa wa kweli kuwa bila dr Slaa hamna kitu na hata hicho kidogo walichopata huko nyuma wanaweza kukikosa. Mpitisheni Dr Slaa na nguvu kubwa muwekeze kwenye ubunge na udiwani. Ni hayo tu. Prof hakubaliki na Hana ushawishi huo. Kumbukeni lowassa ataandamana na ccm wenzake na kumpigia kampeni magufuli.
 
Ccm wanakuja na mtu mpya, tunaelewa wapiga kura wengi hawaelewi tofauti kati ya kubadili uongozi na chama, so long ni mtu mpya kutoka ccm wengi watadhani mabadiliko tayari, hii itapunguza kura za mgombea wa ukawa na hasa ikiwa mtu huyo siyo mpya eg slaa, lipumba, etc, etc.

Sitaki nieleza details lakini kwa kifupi ni kuwa suala la imani za dini mbalimbali lina ushawishi mkubwa katika uelekeo wa kupiga kura na hasa km katikati kuna propaganda za kisiasa, hivyo ukimsimamisha lipumba kura zitapungua kwa wakristo kujazwa propaganda kwamba ni zamu yao, ukimsimamisha slaa kura zitapungua sana kwa propaganda za upadre na ukatoliki.

Way forward:
1. Leteni sura mpya kwa ajili ya wale ambao kwao upya wa mtu ni deciding factor
2. Leteni mtu ambaye hawezi kuhusishwa na imani ya dini ili ku neutralise propaganda za dini
3. Leteni mtu maarufu kwa ajili ya wale ambao kufahamika kwa mtu ni kigezo cha kumpigia kura
4. Leteni mtu ambaye hajatoka kaskazini kwa ajili ya ukweli kwamba ndani ya ukawa cdm ina nguvu hivyo tutaweze kuua propaganda za chama watu wa kaskazini
5. Nampendekeza Tundu Lissu, ana weaknesses zake lakini ni msomi, mpiganaji mkubwa wa masilahi ya taifa, popular, umri wa kati na zaidi ameonesha uwezo wa kuifuta ccm jimboni kwake.

Naomba nieleweke ya kuwa ndani ya ukawa kuna wengi tu wenye uwezo lakini tunachopaswa kuangalia ni nani ataleta kura za kutosha ambayo ccm itafikiri mara mbili kabla hawajaamua kuiba kura
 
Dr slaa ndio tegemeo letu zidi ya dalali wa nyumba za serikali Mr pombe Magufuli
 
hapa tusiingize udini,. kwasababu kama nchi kuongozwa na padre, mbona mwinyi ni shehe na ameongoza nchi vizuri tu. usiwe mdini, tuungane pamoja cuf na chadema ili kuwashinda ccm, la sivyo nchi itabaki hivyohivyo. inavyoonekana wewe kichwa chako kimejaa mavi tena ya uharo ndio maana hata haujajua nini inalenga.
Sasa unataka kusemaje?? Kilimanjaro sawa ila sio Zanzibar. ..huku PADRE NO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom