added advantage ya lipumba ni kwamba kura zote za zanzibar zitaenda ukwawa kwasababu zanzibar wana udhaifu wa uislam hivyo wanampenda lipumba. pia kuna kundi kubwa la wabara ambalo hawapigii mtu kwasababu ni mzuri bali wanampigia mtu kwasababu ni muislam hasa profesa lipumba, udhaifu huo upo vichwani mwao na hawawezi kubaldilika kumpigia padre. wakristo ni waelewa wanaweza kuwa flexible wakampigia lipumba lakini ni tofauti kwa upande huo mwingine. hakika yake mkimuweka lipumba urais utaenda ukawa.
Mkuu unajisumbua bure Chadema hawawezi kukubali bora kila mtu aingie kivyake kwenye uchaguzi wapate kura mbili mbili.
Wakimpitisha padri slaa,basi wake zetu tutawafungia chumbani
ndio, ni wadhaifu na mdhaifu wa kwanza ni huyohuyo faizafoxy, wana udhaifu mkubwa sana wa kuvumiliana. wako tayari wampigie mtu asiyefaa kuliko kumpigia kkafiri, ndio maana nikasema bora tukubali yaishe tumweke lipumba ili waridhike na tuungane nao kuwachapa ccm.so unamaanisha Waislam ni wadhaifu?
na Wakristo ni waelewa? faizafoxy njoo uone huku........
Mbona hapo ulipo tayari ni mfu? Au unataka kufa mara ya pili??Yaani nchi iongozwe na padre? Bora nife
Wakimpitisha padri slaa,basi wake zetu tutawafungia chumbani
Me nawaomba wakija waje vizuri wasituangushe!Wamehojiwa Prof Lipumba na Huyu mbunge wa Mhambwe ambaye amemwakilisha mwenyekiti wake ambaye inasemekana ni mgonjwa.
Kafulila amehojiwa na mtangazaji wa Star kwamba hamuoni kuna chama kinaweza kuwazidi wenzake akajibu kwenye umoja wowote lazima kuna kutoa na kupokea na sio lazima mulingane kama ilivyo kwenye UN, Tanzania na Marekani. Akaulizwa kuhusu Mbatia kutokufika je ni kususa ama kujitoa akasema ni udhuru.
Lipumba amesema kila kitu kitakuwa wazi si leo bali baada ya mambo madogo madogo kufanyiwa rejea yaani consultation, akasema umoja bado upo na maelewano ni makubwa wanamalizia issue za ubunge na udiwani.
Nadhani wametaimu CCM wako busy huko Dom na wao wanajinafasi Dar.
Ukawa tuleteeni the weapon of mass destruction, I.e Dr. Slaa
Wamehojiwa Prof Lipumba na Huyu mbunge wa Mhambwe ambaye amemwakilisha mwenyekiti wake ambaye inasemekana ni mgonjwa.
Kafulila amehojiwa na mtangazaji wa Star kwamba hamuoni kuna chama kinaweza kuwazidi wenzake akajibu kwenye umoja wowote lazima kuna kutoa na kupokea na sio lazima mulingane kama ilivyo kwenye UN, Tanzania na Marekani. Akaulizwa kuhusu Mbatia kutokufika je ni kususa ama kujitoa akasema ni udhuru.
Lipumba amesema kila kitu kitakuwa wazi si leo bali baada ya mambo madogo madogo kufanyiwa rejea yaani consultation, akasema umoja bado upo na maelewano ni makubwa wanamalizia issue za ubunge na udiwani.
Nadhani wametaimu CCM wako busy huko Dom na wao wanajinafasi Dar.
Si tuliambiwa asubuhi kua wamegombana na kikao kimevunjika au ndio ulikua utabiri wa waganga wale wa kienyeji?
He is no longer that weapon,habari ya tanzania sasa ni Magufuli Pombekali
Ukawa tuleteeni the weapon of mass destruction, I.e Dr. Slaa