Star Tv online inapatikana?

Maarab

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2017
Posts
415
Reaction score
257
Ndugu zangu,

Napata taabu sana kuhusu kufungiwa kwa Star tv katika matangazo yake ya televion. Kuna baadhi ya vipindi huwa napenda kuvifuatilia, mf: BBC Swahili n.k..lakini kulingana na kukatishwa kwa matangazo hayo imekua tatizo upande wangu. Binafsi ningejua channel gani/BBC Swahili inapatikana?

Kama ipo mnijuze,

Tafadhali..
 
BBC Swahili inapatikana hapohapo Star TV. Muda ukifika tune hapo utaipata kama siku zote
 
BBC Swahili inapatikana hapohapo Star TV. Muda ukifika tune hapo utaipata kama siku zote
Matangazo yao yenyewe siyapati sjui tatizo liko wapi?
 
Kuna tv ya Kenya kama sio NTV basi itakua K24 kama sijakosea
 
tumia DSTV kuna vipindi kibawwo vya BBC
 
BBC inapatikana Youtube, ingia Youtube search Salim Kikeke ana upload hizo habari,
Pia page ya Facebook ya Salim Kikeke au Zuhura Yunus wanaweka video hizo
 
BBC inapatikana Youtube, ingia Youtube search Salim Kikeke ana upload hizo habari,
Pia page ya Facebook ya Salim Kikeke au Zuhura Yunus wanaweka video hizo
we mjanja..[emoji111][emoji111]
 
Mkuu,angalia kupitia u-tube huwa wanairusha kila siku usiku ule ule muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…