STAR TV na TBC1 VIPI?

STAR TV na TBC1 VIPI?

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
1,457
Reaction score
699
WanaJF kwa yeyote au hawa wahusika wa hizi TV mbili yaani Star TV na TBC 1 vipi mbona hamuonekani kwenye satellite? Au mmebadilisha frequency? Maana ni matangazo mengi mtakosa kwa kutoonekana hivi kwa kipindi kirefu sasa. Mwenye kujua (wahusika) juu ya hili anijuze tafadhali.
 
Mkuu utakuwa unatumia dish gani km c band haya ya ft6 lazima upate ugumu maana hawa jamaa ni km walishahama ila kwa njia rahisi kuwapa km una receiver ya hd na dish la ku band set kwa pale tunapatia supersport kwa east utapata channel zote za tz na nyingine km cnn,aljazeera,k24, n.k bure pasipo kulipia chochote mkuu
 
mkuu unaweza kunisaidia mi sijui chochote na nataka izo chaneli za bure natumia zuku tv ungo wa euro star
 
Star TV ipo nenda karekebishe LNB yako ya C-Band ikae Horizontal (kile kichwa bapa kikae horizontal kabisa sio upande) frq zake ni TP 3884 H utaikamata vizuri tu ila TBC hutaipata
 
Tbc1 kwenye ft6 ni mtihani japo wamebadli symbolrate imekua 3072 badala ya 4444,startv wapo rekebisha lnb yako,kwenye ku band wapo nyuzi 36.0E receiver lazima iwe HD ndiyo utawapata dish dogo inaweza.
 
Mkuu utakuwa unatumia dish gani km c band haya ya ft6 lazima upate ugumu maana hawa jamaa ni km walishahama ila kwa njia rahisi kuwapa km una receiver ya hd na dish la ku band set kwa pale tunapatia supersport kwa east utapata channel zote za tz na nyingine km cnn,aljazeera,k24, n.k bure pasipo kulipia chochote mkuu

Asante bro. ila natumia dish ft 6 na receiver ni strong sijui hiyo ya HD nitaipata wapi? Nisaidie mawazo please.
 
Hizo receiver zipo nyingi tu madukani ukiuliza utapata ila dish nalo lazima ubadilishe ukatumie dogo la ku band ghalama yake sio k7bwa
 
Back
Top Bottom