Star TV mtandaoni haina sauti

Star TV mtandaoni haina sauti

albani

Member
Joined
May 29, 2012
Posts
24
Reaction score
3
Kwanza tunashukuru Star RV kwa kuwa TV pekee Tanzania inayotuhabarisha habari mbalimbali za Tanzania sisi tulio Ughaibuni, hongereni sana kutujali tusio nyumbani. Pili, ni kwamba kwa siku kama tatu hadi nne hivi imekuwa inatoa picha tu lakini sauti haisikiki. Tunaomba fundi mitambo aliangalie hilo na kulifanyia kazi ili kuendelea kutuhabarisha yanayojiri
 
StarTV Live | StarTV
wanahitaji kuboresha sio sauti tu hata ubora wa picha
nlishawaandika email na msg kadhaa lakini wapi
nkawashauri watumie livestream kama wenzao kenya
au waombe watu wa TMTV wawasaidie,katv kao online kako poa
Pia ni changamoto kwa ITV na Channel 5 na zingine.......
watu wa IT wanaweza kuingia ubia na tv stations wakaziweka online kama wenzao wa kenya Home | KenyaMOJA.com WATCH NTV LIVE | KenyaMOJA.com
watu wa madongo kuinama tuendelee kuangalia za kenya kupata habari za afrika mashariki hatuna jinsi ingine kama Tanzania wamelala hawana ubunifu.
 
Back
Top Bottom