CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Nawaambia maoni yangu , mnapoteza weredi , mvuto na dira. Kwa nini?: Kuwaleta watu wa mahojiano watu wa "hovyo". Watu badala ya kujadili mada kwa weredi wanajadili na kutetea milango ya vyama vyao. Unaona inclination yao kuwa ni chama fulani. Kujikomba kutegemea waonekane kwa mkubwa kama watapata fadhila fulani.
Mlianza vizuri sasa mnapotea! Achana na kuwahoji watu uchwara! We need philosophical /psychological analysis, siyo mechanical analysis of issues
Mlianza vizuri sasa mnapotea! Achana na kuwahoji watu uchwara! We need philosophical /psychological analysis, siyo mechanical analysis of issues