Star tv Live: Kukithiri kwa ufisadi, maadili yamepuuzwa?

Dah mkosamali anafunguka sana,mb unakopeshwa mil90 za magari,iweje ununue vogue ya mil300? Umepata wapi hela? Anasema mtu kama huyo kamata weka ndani.

Anafunguka nini sasa hapo? usifuate mkumbo tu kuna mbunge gani Tanzania anaendesha Vogue ya milioni 300 hizo Vogue unazoziona wanaendesha kina Komba, Mbowe ni mitumba tu hiyo mikopo yao inatosha kununua.
 
Mwigulu Nchemba anasema vyama vya upinzani wanachukuwa ruzuku halafu wanagawana, anaendelea zaidi anasema vinanuka rushwa kuzidi CCM tatizo hawajapata nafasi Watanzania watakuja kujuta.

Tupeni mchanganuo wa pesa za ruzuku mnazopewa ccm ikichukuliwa kuwa nyie ndo mnaochukua ruzuku kubwa kuliko wote
 
Back
Top Bottom