Star TV hamtendi haki

Jaruba

Member
Jul 14, 2013
19
15
Wadau Kwa yeyote aliyeangalia kipindi cha Ajenda 2015 leo tar 27 April, ambacho mara nyingi hufanywa na Dotto Bulendu awe muwazi kuwa Star TV wanatumika muda mwingine na CCM,iweje mtangazaji a alike wageni wote wa mlengo mmoja,halafu na yeye awe upande wao,hana maswali ya kuwabana anaawacha wanatiririka tu na hata yeye anageuka kuwa kada?

Wanahabari mmo humu,twambieni kama hii Ndo taaluma ya kualika wageni wenye mtazamo mmoja? naombeni kujua chuo alichosoma Bernard James,au kajifunza tu utangazaji na ni mwanachama wa ccm sasa anapewa muda wa kukinadi chama?Sidhani kama taaluma iko hivyo.Star TV badilikeni nyinyi ni chombo binafsi,lazima muwe kama wenzenu wakongwe ITV.
 
Wadau Kwa yeyote aliyeangalia kipindi cha Ajenda 2015 leo tar 27 April, ambacho mara nyingi hufanywa na Dotto Bulendu awe muwazi kuwa Star TV wanatumika muda mwingine na CCM,iweje mtangazaji a alike wageni wote wa mlengo mmoja,halafu na yeye awe upande wao,hana maswali ya kuwabana anaawacha wanatiririka tu na hata yeye anageuka kuwa kada?wanahabari mmo humu,twambieni kama hii Ndo taaluma ya kualika wageni wenye mtazamo mmoja? naombeni kujua chuo alichosoma Bernard James,au kajifunza tu utangazaji na ni mwanachama wa ccm sasa anapewa muda wa kukinadi chama?Sidhani kama taaluma iko hivyo.Star TV badilikeni nyinyi ni chombo binafsi,lazima muwe kama wenzenu wakongwe ITV.

Startv ni chombo cha diaro ambaye keshawahi kuwa mbunge kupitia ccm na bado ni mwanachama pia hivyo kuvutia upande bosi aliko ni promo kwake yy hata km hataki ila hali ya ajira inambana
 
Mi nimesomea hyo taaluma kiukwel..haitakiw hvyo ikiwa umemualika mgen mmoja bac mtangazaj lazima awe neutral huwez alika wagen wa mlengo mmoja nawe ukawa hukohuko kwanza hutakiw kuonyesha mihemko au mahaba yako upande fulan so kwa hapo star mhh cjui wamesoma wap.....k.nj.nj?
 
Tujiulize haya maswali kwanza
(a)Mmiliki wa Star TV ni mwanachama wa chama gani?
(b)Je mmiliki anaweza kutoa maagizo kwa kitu cha kutangaza?
Kama jibu la B ni ndiyo basi let us close the topic
 
Kama ni hivi Dotto Bulendu rukia Azam au tukufanyie mpango Citizen ya kenya kabla hujaenda BBC au DW
 
Huyu Jamaa si ndio anafanyaga vipindi vya muziki pia?mziki na siasa labda awe Roma mkatoliki au Kala.....hii ndio bongo,kila kitu kinawezekana wadau.
 
Wadau Kwa yeyote aliyeangalia kipindi cha Ajenda 2015 leo tar 27 April, ambacho mara nyingi hufanywa na Dotto Bulendu awe muwazi kuwa Star TV wanatumika muda mwingine na CCM,iweje mtangazaji a alike wageni wote wa mlengo mmoja,halafu na yeye awe upande wao,hana maswali ya kuwabana anaawacha wanatiririka tu na hata yeye anageuka kuwa kada?wanahabari mmo humu,twambieni kama hii Ndo taaluma ya kualika wageni wenye mtazamo mmoja? naombeni kujua chuo alichosoma Bernard James,au kajifunza tu utangazaji na ni mwanachama wa ccm sasa anapewa muda wa kukinadi chama?Sidhani kama taaluma iko hivyo.Star TV badilikeni nyinyi ni chombo binafsi,lazima muwe kama wenzenu wakongwe ITV.

Siipendi CCM ila kwa hili kama unamwonea bure mwendesha kipindi Benard James.
Nimekiangalia kipindi chote na aliyeongea sana ni Mwl. Chacha Kisiiri ambaye siyo CCM na kasema haipendi CCM.
Yule mwenyekiti wa vijana CCM Mwanza kaendelea kuonesha uwezo mdogo aliyonao ktk hicho kipindi.
 
Watapiganaaaaa! Lakini hawatashinda. Wacha magamba yafe kwa amani. Muda wao wa kuishi umekwisha. Watajaribu kila mbinu lakini haitowasaidia kitu.
 
Siipendi CCM ila kwa hili kama unamwonea bure mwendesha kipindi Benard James.
Nimekiangalia kipindi chote na aliyeongea sana ni Mwl. Chacha Kisiiri ambaye siyo CCM na kasema haipendi CCM.
Yule mwenyekiti wa vijana CCM Mwanza kaendelea kuonesha uwezo mdogo aliyonao ktk hicho kipindi.

wewe ukiona sasa Kwa sababu zako,labda ni shabiki wa mavazi ya. watangazaji ila Bernard kilimshinda na hakujiandaa.
 
Kipindi hakikuwa na upendeleo, tatizo ni mtangazaji hakuwa na maswali yenye kuleta changamoto kwenye kipindi.
 
Back
Top Bottom