Habari wana JF.
Wiki inaisha sasa hapa mbeya STAR TV kupitia satellite dish (hasa haya ya futi 6)haishiki kabisa. TATIZO LINAWEZA LIKAWA NINI?. naomba mwenye data na majibu atumwagie hapa. NATANGULIZA SHUKRANI.