Habari watu wa JF?
Natanguliza samahani kuwa kichwa kilipashwa kusomeka Star Times Decoder
Kwa watumiaji wa Decoder za Star Times, naomba nisikie maoni yenu juu mambo haya:
1) Stations nyingi huwa hazipatikani kwa muda fulani fulani.
2) Vipindi vinavyoonyeshwa hujirudia mara kwa mara, yaani ni kama vile wanatuonyesha mikanda fulani!
3) Vipindi vinavyoonyeshawa ni vya siku nyingi mno!
4) Je kuna usalama hapa kweli? Au ndiyo usanii kama kawaida? Au ndiyo yale yale ya GTV?
5) Sasa tunafanyaje ili kuepuka na matatizo mbele ya safari?
Jamani mnatuogopesha sisi ambao tunaplan kununua kama nivimeo mtushtue tusiingie mkenge wote.kweli nchi imekua shamba la mgumba
Kuhusu hapo channel ten,Bonyeza remote yako sehemu imeandikwa track wakati ushai-select na sauti itabadilika.Yote uliyotaja hapo juu ni sahihi
Nimejaribu kutafuta website yao zijafanikiwa
- Station zao zinakwama kwama picha na sauti
- Channel zao lugha inayosemwa ni Kichina na Kifaransa Je huu ni uungwana !!!!!!!!!!
- Audio ya channel ten imechanganywa na Radio, Picha na sauti havielewani
- Channels wanazoonyesha ni FTA (Free To Air) From Eutelsat 2wA 10deg.E mwenye bidii ajaribu
- Hawana Anwani wachina hawa kama kuna mtu anawafahamu alete habari zao Tuwafamishe matatizo yao
Ni kweli stesheni nyingi hazionekani na ukiwauliza wanadai ni antena yako ndo ina matatizo au eneo ulilopo sio zuri.Hapa hakuna cha kufanya kwa vile sina uhakika kama hizo decoder zina warannty.Ndio kusema hapa ni hasara tu.
Duh! Sasa antena inakuwaje na matatizo halafu wakati mwingine (siku nyingine) zinaonekana fresh?
Kudaadeki kwa hiyo bongo inaendelea kuwa jalala tu!?
hehehehee! yani hapo kwenye red umepatia kweli.Ndio maana wachina wametuteka kisawasawa na feki zao kwa vile tuna-entertain cheap things.Kuna siku nilikaa bar na jamaa zangu kama tisa hivi...one of them alikuwa amempigia sales agent wa hiyo star times amletee decoder pmpja na antena ready for installation.
I will stick to DSTV though the monthly charge stand at tsh. 108,000 (which is on the high side by every standard) until I get a better deal.
Mnaojaribu ku compare GTV na hawa matapeli wa Star Times sidhani kama mko sahihi, kwa maoni yangu GTV was super, ni economic meldown tu ndo iliwatikisa na kuwaondoa sokoni.
My free advice: Cheap is expensive