Star TV acheni unafiki, propaganda zenu dhidi ya CHADEMA hazitafanikiwa

mimi niligundua hili pale walipotoa ile show ya PIKABOMU ambayo strategically ilikua against CCM
 
tokea dialo achaguliwe nec(sina uhakika na mavyeo yao haya)amefika hadi hatua ya kuwavika misuti ya njano wasomaji wa taarifa za habari kwenye hiyo channel..duh
 
Cna mda wa kutazama tv iyo coz its ccm oriented kuna taarifa yao moja walimnukuu kamanda mbowe akimsifia ndugu ****** basi wakawa wanairudia rudia cjui ili iweje na yule bosi wao fisadi wa elimu mwenye phd feki wote ni magamba tu amna lolote.

Cna mda wa kuangalia habari kwenye local tv channels coz there is nothing except praiseness of minority ndio mana nkapa aliwatukana alipokua anaojiwa na kituo kimoja cha tv abroad kua waandishi wa habari wa tz ni wavivu wa kufikiri na hawajui kuuliza maswali .
 
Katika Tv ambayo nilikuwa nawaheshimu kwa kutupa habari bila upendeleo ni star tv hadi nika waita Aljazeera ya Tz, lakini sasa nawa dharau wote pamoja na tv zingine na redio za hapa wamekuwa mazuzu, ukweli ni kwamba hawana maana yeyote kwa watz mana wana fanya kazi ya wezi wakubwa wa rasmali zetu yaani kazi ya ccm,
Shame upon all especially Diallo kwa kuamua kurubuniwa akili yake,
Star tv nimeshitoa moyoni rasmi ni mewaeleza famili yangu, kuwa matangazo yao kwa sasa ni uozo wa CCM.
Waafrika njaa na ushabiki utamaliza daima.
Wana jf tuwazomee hawa makuwadi na makasuku wa ccm, si chochote juu ya nguvu za umma.
Wasalimie waharamia wa pembe za ndovu chini ya kanali A.kinana.
 
Mkuu usipige kelele. Star TV ni mali ya mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza kwa hiyo ulitegemea iwapambe CHADEMA? Hiyo ni swa na Tanzania Daima kuipamba CCM..........

Hivi hapa suala ni kupamba ama kuandika na kutangaza ukweli na hasa kile kilichopo?,hivi hauoni migogoro iliyoko CHADEMA,mbona hata sasa hivi ako humu wanashambuliana kama nyuki wanaotaka kumtapikia MALKIA???!!
 
ni kweli kabisa hawa jamaa wamezidi sana yaani kila siku lazima watangaze mgogoro wa CHADEMA huenda wanatumiwa hawa lknhawatafanikiwa kamwe
 
Hata mm siangalii tena hiyo star tv nilikuwa najiuliza sana kumbe magamba ndio wameshaanza hivyo?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndugu Upepo umegeukia upande huu ndo maana si mitandao wala TV wala redio unaongea mema kwa upande wa chadema, ngoja nikukumbushe haya...Kadi ya CCM ya dr, Mwanza na arusha madiwani, Katavi Bavicha kafukuzwa, Karatu uongozi umefukuzwa, Kikao cha morogoro (Mnyika hajui zitto anajua) na sasa Mzozo mkuuubwa sana MASALIA (Zitto, na saa8 na wenzie) hii ndo story za mjini na zinauza sana habari..Usiwalaumu StarTV kilaumu chama kwa hii mbinu yake mpya ya M4C maana inapita nje ya chama na ndani ya chama...these are changes we are looking for...
 
Chadema bwana yani mnataka kubembelezwa kama mke..hata kwa mabayaa
Chadema kuna mgogoro mkubwa sana, mkiuficha bila kuwekwa wazi na kubaini wapi kuna matatizo nchi hii hamtaiongoza na wapenzi wenu watakosa imani nanyi. ccm maugomvi yao yameanikwa ktk media wakayajua na wanayatatua kwa jinsi wanavyojua wao.
angalia vita ya zitto, saa nane machange, mwambapa. bila uwazi hamtajua mnafiki na mzandiki wa chadema n nani. gorbachov alikuwa puppet wa nato kaisambaratisha ussr. hata slaa anaweza kuwa pandikizi la ccm, kwani yuda hakumsaliti yesu kwa vipande 30? msiibane demokrasia HAKI YA UHURU WA MAWAZO Ibara 18(a)-(d).la kuweni na tv station mahela si yapo?
 
Kazi ya Gazeti la Tanzania Daima(gazeti la chadema & Mbowe co.ltd) ni kusifia ujinga wowote wa Chadema na huufanya uzandiki huo uonekane ni jambo zuri! Think twice and loud!
 
Acha Dialo alipe ccm fadhila kwa kuchaguliwa kiongozi wa chama mfu, Maana anajitaidi sana lakini hii itamgharimu mbele ya safari maana kwa hali ilivyo na ikiendelea hivyo ntashangaa kama wale watu makini wenye fikra huru na Zinazojitegemea kama wataendelea kumtumikia katika vyombo vyake vya Sahara Media........... maana baadaye itabidi tufukue sana ufisadi wake pia toka akiwa waziri
 
Karibu wiki nzima sasa Star tv wamekua wakijaribu kukuza propaganda za kijinga zidi ya CHADEMA na kutengeneza kile wanacho ita migogoro ndani ya chama.

Kwenye taarifa zao za Habari hauwezi ukakosa habari ya kadi ya Slaa au kuwahoji wanao waita wanachama wa CHADEMA ili ionekane CHADEMA kuna migogro. Kisha baada ya hapo inafwata habari ya kuisifia CCM. Hao hao Star Tv wamekua na kipindi kila mwisho wa wiki kwenye kipindi cha tuongee asubuhi wamekua wakichambua weredi wa waandishi wa habari wa magazeti ,kumbe wao ni wanafki wakubwa.

Lakini hamta fanikiwa na njama zenu za kijinga kwani mabadiriko hayazuiwi kwa propaganda ...

My Take:
Muda umefika sasa na hatuhitaji kuomba tena tunakutaka J.J Mnyika uje hapa utuambie, CHADEMA itaanzisha lini vyombo vyake vya habari kwani tumechoka kulalamika.
mkuu umesema vema,nimeona tatizo upande wa cdm ni kutochukua ushauri wa wadau kwa haraka. Hivi kuna ugumu gani cdm kuanzisha media zao? Hakika chama hiki kitajutia kupoteza hii fursa adhimu iliyopata.
 
Back
Top Bottom