Star times waache ubabaishaji

Mimi shida yangu ni zileb chanel 5 ambazo zinatakiwa zionyeshe hata kama sijalipia.muda ukiisha zote zinakata je nitatizo la decorder au setting.
 
Haaa mm nimepiga simu jana hiyo namba nikawaambia tatizi langu wakaniambia napata shida ya jupata channel kwa sababu nimeweka waya mweusi. startimes cna hamu nao.

Kwa hiyo wanataka rangi gani.
 
Rimot yangu imekufa,kama zipo ni bei gani?
 
Hawana maana kabisa hawa! nililipia kifurushi cha mambo kwa mwaka mzima ambapo kinaisha August 2014. Chakushangaza ni kwamba hizo chanel za mambo sizipati! Local nazo chenga mwanzo mwisho. Iliyobaki ni kuwatosa tuu hawa Malawians,!
 
Sasa bwana star times, kwa nini usiset visimbuzi vyako ili mteja awe na chaguo muda wowote wa kifurushi anacho kitaka kulingana na bajeti yake na vipaumbele vya channel anazotaka kufuatilia? Hivi mtazania wa sasa anahitaji complication katika huduma? ushauri wangu kwenu acheni kiwango ambacho mteja analipia mashine yenyewe aoutomatical impe kifurushi kulingana na fedha alioilipa sio sasa ukiwa kili basi wewe ni kili tuu, ukiwa uhuru wewe ni uhuru tuu
 
Ahsante kwa majibu. Hii ni ishara nzuri ya uwajibikaji na huduma kwa umma. Suala la 'local channels' kuwa kwenye visimbuzi vyote bure ni la kisheria. Wanapokataa kutoa ushirikiano wanavunja sheria hivyo ni wahalifu. Wasilianeni na TCRA ili wawawajibishe na kuwalazimisha kufuata sheria. Waache kutetea maslahi binafsi. Nawaomba TCRA wafuatilie hili suala kwa makini.


 
Kama azam kungekuwa na itv ningejiunga nao,lakn nimeshindwa kwan habar zakwer napata itv 2.startmes jipangen wengne wata buruza mk.
 

hapa nakubaliana na wewe. mimi natumia hio STARTIMES DECODER kama kubadili nitaenda DSTV tu. favorite channels zangu ni NBA TV,MTV,BET,ETV,BBC,AL JAZEERA na hizi zote zinaonekana kwa quality ya juu sana lakini local channels kama tbc,.dtv,clouds ni very poor,hii inaonyesha tatizo sio STARTIMES ni hao local source content zao ni low quality

@StarTimes huwa naangali sana NAT.GEO.SCIENCE tatizo kubwa mmetoa english commentary na kuweka FRENCH VOICE OVER. hivi hamuelewi kuwa watanzania wengi wanatumia kiswahili na english??? hamvunji sheria za TCRA?
 
Haaa mm nimepiga simu jana hiyo namba nikawaambia tatizi langu wakaniambia napata shida ya jupata channel kwa sababu nimeweka waya mweusi. startimes cna hamu nao.

mimi walikuja kunitembelea wakaniambia waya wangu umepinda kwa hiyo ninunue mwingine nilichoka sana. Ilibidi mimi niwe fundi mwenyewe yaani ninaishi nacho kwa tabu sana
 



Kwa kweli bwana/bi/bibi StarTimes Tanzania huko sawa unachokisema

Awali nilikuwa natumia cha 10,000/= kwa kama miezi miwili then baadae nikahamia cha 20,000/= for almost 8 months sasa lakini mara kwa mara lazima hili lijitokeze na hata nikiwapigia hakuna cha maana mnanijibu zaidi tu ya kutoa majibu ya ajabu ajabu.....


JIPANGENI vizuri ushindani unazidi na msipokuwa makini vingi vitaishia makumbusho
 
Last edited by a moderator:
Mimi cha kwangu kinajizima na kujiwasha mda wote siwezi hata ona kitu, nimepeleka ofisi kwao wananambia ninunue kingine

wezi tuuu hao hawana lolote.....wanajidai watoa huduma...fakee..mbutaaa
 
Rimot yangu imekufa,kama zipo ni bei gani?

Remote ikifa majanga. Ukipiga simu customer care ya sh.5,000. Nilifika customer care nikaambiwa out of stock mpaka baada ya wiki. Ila nikaelekezwa kwa kijana ambaye anauza mlemle ndani kwa sh.10,000. Kwa vile nilikuwa nahitaji nikanunua but nililalamika sana. Kijana ni mkweli akasema yeye amepewa tu kuuza na watu wa customer care huwa wananunua almost zote zikiingia kwenye stock na kulangua.

Huo ndiyo mpango wao, ukiwa tayari kulanguliwa endelea, la sivyo hutaweza kufaidi kifurushi ulicholipia.
 

ahahhahahahhhhahhhaaaa mbavu zangu hhahhahhahah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…