Pole mkuu, hata hicho unaweza kukigeuza kuwa toy la kuchezea mtoto.Nimehama na kisimbuzi chao kutoka dar kufika moro akifanyi kazi nawapigia huduma kwamteja wanasema natakiwa kununua kifurushi cha elfu sitini ili kiwe activated! Nimekiweka tu nyumbani naangalia tu cd ..ingekuwa makaratasi ningefungia maandazi...
Kwa muda sasa Star Times wanacheza mchezo mchafu. Stesheni za bure - yaani ITV, TBC, Star TV, EATV na Channel Ten zinaonekana vizuri kwa muda mfupi na kuanza kuganda picha au kusikia sauti tu.Wakati hizi za bure hazionekani, zile station nyingine za nje zinaonekana vizuri bila tatizo lolote. Ina maana wanalazimisha wateja kulipia ili waone TV la sivyo ubaki na hizi zinazoganda! TCRA waingilie kati kwani tunanyanyaswa.. . . ,
Kwa muda sasa Star Times wanacheza mchezo mchafu. Stesheni za bure - yaani ITV, TBC, Star TV, EATV na Channel Ten zinaonekana vizuri kwa muda mfupi na kuanza kuganda picha au kusikia sauti tu.Wakati hizi za bure hazionekani, zile station nyingine za nje zinaonekana vizuri bila tatizo lolote. Ina maana wanalazimisha wateja kulipia ili waone TV la sivyo ubaki na hizi zinazoganda! TCRA waingilie kati kwani tunanyanyaswa.. . . ,
Dah mkuu Mimi hilo limeaza karibuni inawiki sasa zinazingua kichizi
Mimi cha kwangu kinajizima na kujiwasha mda wote siwezi hata ona kitu, nimepeleka ofisi kwao wananambia ninunue kingine
nitawapigiahabari yako Peter, pole sana, je unaishi wapi na unatatizo gani? tafadhari wasiliana nasi tukupatie msaada, namba yetu ya huduma kwa wateja 0764700800
habari yako Mfereji, sio kweli kuwa tunafanya hivyo, tatizo kubwa la chanel za ndani ni matatizo toka 'SOURCE' ya chanel husika, kiukweli kunabaadhi ya chanel za ndani tumekosa ushirikiano wa kutosha toka kwa wamiliki wa vyombo husika na hivyo kutulazimu kutumia njia nyingine mbadala kuzipata ili kuhakikisha zinapatikana kwa watanzania. Tunajitahidi sana kufanya kila linalowezekana ili kupatikana chanel hizo. kwa chanel za nje nyingi tunapata ushirikiano toka kwa wamiliki na hivyo hata 'SOURCE' ya chanel hizo kupatikana kirahisi.
hata hivyo pamoja na hayo yote chanel hizi za ndani muda mwingi zinakuwa zinaonekana vizuri kabisa, na nimara chache tu huwazinasumbua. endapo antena yako itakuwa inapokea mawimbi hafifu basi kunauwezekano mkubwa ukasababisha tatizo hili na kwa kuwa chanel zote za ndani zinaingia kwa frequency moja basi zote zitasumbua kwa pamoja.
Halafu hivi we StarTimes Tanzania, tafsiri yenu ya mwezi ni nini?
Hebu acheni wizi, mtu unajiunga na scheme yenu ya 20,000/= hazipiti hata 20 days unakuta unaambiwa ufanye subscription....
Hebu jipangeni bana mnatukera
habari yako Peter, pole sana, je unaishi wapi na unatatizo gani? tafadhari wasiliana nasi tukupatie msaada, namba yetu ya huduma kwa wateja 0764700800
habari yako Wizzo, pole sana kwa tatizo, hilo ni tatizo dogo sana 'BOOTING' na linarekebishika ndani ya muda mfupi, tafadhari fika na king'amuzi chako katika ofisi zetu zilizokaribu nawe, na kama utapata majibu usiyoridhika nayo wasiliana na supervisor wa kituo husika au piga simu yetu moja kwa moja toa malalamiko yako 0764700800.
Mkuu wizzo inaonekana una dekoda ya continental na startimes pia zote za Terestrial, ungejaribu na dekoda ya satellite ulinganishe ubora wa picha.Mimi cha kwangu kinajizima na kujiwasha mda wote siwezi hata ona kitu, nimepeleka ofisi kwao wananambia ninunue kingine