Star Times vipi? Mbona siipati channels zao leo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star Times vipi? Mbona siipati channels zao leo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Aug 17, 2011.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Habari Wana JF,Naomba mnijuze kama kuna tatizo lolote la vinga'muzi vya star Times,Napata channel mbili tu:TBC1 & KBC,Kuna Tatizo lolote la kimfumo wa urushaji matangazo? Aksante.
   
 2. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  kalipie wamekata matangazo probably. Pole mkuu
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona ina vocha za kutosha tu,nilipia ya miezi miwili na bado mda haujaisha.Nikijalibu kusearch manual kwa freq 570 napata channel za ATN,sasa sijui tatizo lipo wapi exactly..

   
Loading...