Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,238
Whatever it is we have been overcharged for so long now. We paid for the dish, receiver, installation and we are paying USD 78USD per month aaagh, chakachualling is Ok. They are expensive like hell
amechelewa tumekula free hadi wamestukia
inawezekana. ni PMMimi dstv nina compact plus nataka primium inawezekana??
technically irdeto 2 haijakuwa hacked. kinachofanyika kama nilivyosema ni card sharing au control word sharing. hii sharing inaweza kuwa kupitia internet kama ifanyavyo hawk ( server za hawk zilikuwa down kuna kupindi sijui sasa) na gprs adapter (hizi unaweka lain ya simu na unakula premium package) hizo dongle ulizosema sio stable sana kuna kipindi ziligoma kabisaa.nadhan wengi wetu tushaing4za frequency za dstv channels kwenye madish yetu ya kibongo ila channel hizo zinakubal kuingia ila tu zipo scrambled, sasa cha kufanya we
ongeza ungo wa pili nao uangalie sehem ile ile ya ungo wa mwanzo , nunua latest dvb mpeg4 hd receiver zenji pamoja na dongle huko zenji ukishapata ur gud 2 go HA HA HA ETI IRDETO 2 HAICHAKACHULIKI, UTAFKIR AMEITENGEZA MALAIKA
na sisi tunaruhusiwa kuku PM ?inawezekana. ni PM
Lipia bana kwani buku 10 kwa mwezi nyingi?
na sisi tunaruhusiwa kuku PM ?
Aisee MPENDA USAWA si utupe ujanja na sisi tufaidi sote?napata nat geo gold,fox,dubai one.....for free in startimes.......
Aisee MPENDA USAWA si utupe ujanja na sisi tufaidi sote?