Kumbe inawezekana..........lakini huu si utakuwa ni wizi.Habari zenu wana jamvi!!
Unaweza kupata ITV,EATV,EMMANUEL TV NK. kupitia StarTimes ila Channel za TBC1 and TBC2 na other 10Channels zitatoka ila waweza kuzirudishia na zile package zijazo na ITV kuwa overwritten.Nilifurahia sana hilo kupitia StarTimes,yeyote aweza kufanya bila msaada wa StarTimes Technical personel.
Ahahahahahaaaah du eti ugunduzi..........nimekubali.Mbona kwenye usumbufu haujasema kitu? Anyway,wenyewe wame enable bila kutangazia watu wao ndio wameiba na watu ni watafiti wamgundua na wanatumia matunda ya ugunduzi wao.
asilaumiwe mchina bali customer service mbovu za wabongo
Ni kweli ugunduzi mtu wangu na watu wanaangalia bila shida.Tumwage hapa setup zake ukajatribu home kama unayo Decoder ya StarTimes??
Mwanzoni walianza vibaya, lakini TBC wametambua tatizo hilo, wamefanya mabadiliko. Asilimia 90 ya wale customer care wakorofi wameondolewa. Hali ni shwari sasa. Mimi ni mteja wa StarTimes, ila kuna tatizo moja ambalo nataka kulifuatilia... kwenye hizo channels zao wanaweka lile tangazo lao MARA MBILI, tena kati kati ya kipindi! Wanaboa! Lakini kimsingi, content zao ni nzuri. Jaribuni sana kuangalia Discovery World, mtajifunza mambo mengi mazuri!
Setup ni kuwa
1.Click Menu button kisha down arrow key mpaka kwenye Item ya nne itakupatia Two Options,Manual and Automatic
2.Click right arrow key ili uende kwenye hizo options kisha uwe kwenye Manual options.
3.Click OK kisha bonyeza 530 kisha Click OK.
4.Ita search na kuonyesha 12channels found.
5.Exit mpaka kwenye Menu kisha ITV,EATV zitaonekana
6.Ukiona ITV na EATV havina sauti bonyenya Track button chini ya Power button kwenye Remote yako mpaka utaona sauti inapatikana.
&.Waambie na wengine.
Nakutakia kila la heri