Star times mnapoelekea sipo

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
271
Nilinunua simu ya startime ya 129000 zile simu zina tatizo la kujitoa memory card ikiwa simu ipo on..uzuri wenyewe wanajua maana nilipoirejesha walijua tatizo na wakaomba niiache...tatizo langu kubwa ni kwamba baada ya kwenda kuichukua na kuniambia ipo tayari walikua wamedelete kila kitu na ile memory kurudi upya ikiwa ni pamoja na kufuta mafile yangu muhimu...je nina haki ya kuwashitaki?

Nisaidieni wakuu katka hili
 
sio kwamba wamekubadilishia simu wakakupa nyengine? ni aibu kwa kampuni kubwa hivyo kuwa hata basic concept ya backup na restore hawaijui. ni vizuri ukashtaki hapo hapo startimes lakini kwa wakubwa wao huenda wamepitiwa tu na simu ipo wakakurudishia data zako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…