Star times hawataki usome taarifa hii.

Niliwahi uliza,
"KWA NINI TUNAWAHI KUINGIA DIGITAL WAKATI MAKAMPUNI MENGINE BADO MITAMBO YAO HAIJAKAMILIKA"
Wizi mtupu
 
Hii haitakuwa mpya Tanzania kwani tulishalizwa na GTV, tunaomba serikali kupitia regulator watunge sheria ya kulinda watumiaji itakapotokea makampuni hayo yamefilisika.
 

Mkuu Bukyanagandi,

Sheria zetu haziwalazimishi watoa huduma kutumia DVB-T2 decoders. Infact inawataka watoe DVB-T.

10.-(1) A multiplex operator shall provide services based
on the Digital Video Broadcasting-Terrestrial (DVB-T) family
standard as provided under the First Schedule to the Regulations.

Naambatanisha file lenye sheria inayo regulate matangazo ya digitali.
 

Attachments

quality ya itv ya analog ilikua poa kwa picha na sauti kuliko hii 'itv' ya startimes.
kutoka analog kwenda digital quality inakua downgraded
tcra wapo wametoa mijicho tu
hawa tcra hakyanani...................(jf kusingekuwa na ban) ngoja tu.
 

Naunga mkono kuwe na ushindani badala ya kuwa na star times peke yake. Itasaidia sana kuongeza quality ya ving'amuzi na bei inaweza kushuka pia
 
Hii haitakuwa mpya Tanzania kwani tulishalizwa na GTV, tunaomba serikali kupitia regulator watunge sheria ya kulinda watumiaji itakapotokea makampuni hayo yamefilisika.

Mkuu suala la GTV hatukulizwa Tanzania tu, karibu nchi zote za chini ya jangwa la sahara. Na hii ni kwa kuwa walichukua 80% ya kuonyesha EPL Kuliko Supersport. Kwahiyo fanya utafiti kwanza ndo uandike, sio kila mtanzania ni maamuma kama unavyodhani. Haya majungu ndo yanayosababisha watz tusiendelee!
 
hi serikali tnatakiwa tuishtaki,
tuna umaskini wa kutisha na yenyewe inatuzidishia umaskini!
Kisa cha kuingia mikataba feki na ku2letea ujinga huu yani makitu yanakwamakwama.cha msingi tuwarudshie mkwanja wetu tjazie tkanunue vyenye ubora.ama tvirudishe watupatie vingine.mi cjaangalia tv tangu trh 31 dec.na mt asnambie habari ya kununua kingine kama wewe unauwezo ni wewe.pale kijijini hata tv mt kauza kipande cha shamba.aendlee kuuza tu.!?wazime hyo mitambo wajipange upya
 

Mh, hii imekaa kimadesa zaidi, ngoja nipite ntarudi nije kumeza, mana sijaambulia kitu jamani...mwe!!!
 
Kaka kilichoandikwa ni chenye ukweli. Achana na mmiliki wa gazeti. Ni kweli kabisa kuwa aina ya ving'amuzi tunavyouziwa hapa sisi na StarTimes Waganda walivikataa kwa madai ni old model. Tatizo kwetu lipo TCRA kwani hawataki kusema ukweli.
Nisome vizuri, sijapinga kilicho andikwa hata kidogo, bali nilikkuwa pia najibu kuhusu mmiliki wa gazeti
 
Mmiliki wa gazeti apunguze umbea. Ving'amuzi hivi vinatumika Uganda, Kenya, Nigeria, China, India na sehemu nyingine kibao.
 


Tafuta habari taarifa iliyotolewa ni uongo. Decoder za Star Times zinatumika Uganda, Kenya, nigeria, India na china kwenyewe. Hizo ni kampeni za kibiashara tu usipanic.
 
kama wanatuletea ARV feki,kondom fek,simu feki watashindwaje ving'amuzi..tatizo ni utawala tulionao.
 
Finali ni wakati wa Kampeni za uchaguzi. Channel ya nani itakabwa koo na Wac**** na TC** itajulikana.
 
quality ya itv ya analog ilikua poa kwa picha na sauti kuliko hii 'itv' ya startimes.
kutoka analog kwenda digital quality inakua downgraded
tcra wapo wametoa mijicho tuk
hawa tcra hakyanani...................(jf kusingekuwa na ban) ngoja tu.
quality ya Tv nyingi itadhurika maana TV NYINGI HAZIJAjiICONVERT to digital we angalia quality ya CITIZEN TV.hapa kwetu kwa kiasi kikubwa camera nyingi zinazotumika field ni home use vile vidogo vya kupigia harusi..nenda mikoani ndo utaona..lazima pia media zikubali kuoutsource vipind kwa watu wanaoweza kuwapa digital quality espesially HDV FORMAT
 
Inawezekana ni wrong choice of words kwangu niliposema: "Achana na mmiliki..." ila sikuwa na nia ya kikupinga. I just wanted to shed more light on the issue kuwa ni kweli na kuwa tatizo kwetu lipo TCRA kwani hawataki kusikia habari ya aina ya ving'amuzi vinavyotakiwa.

Nisome vizuri, sijapinga kilicho andikwa hata kidogo, bali nilikkuwa pia najibu kuhusu mmiliki wa gazeti
 
Mi bado sijanunua king'amuzi sitaki kuwa na store ya ving,amuzi nyumbani.
 

thanx mkuu, nimekusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…