KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Ambae hajaelewa anamatatizosijasema popote kuwa nimetoa
Ambae hajaelewa anamatatizosijasema popote kuwa nimetoa
CG usijali ni kawaida, nimewazoea tuCc Joseverest jamani sio kwa kuonewa huku
Sawa jose wanguCG usijali ni kawaida, nimewazoea tu
Kwa hiyo ukampa, ukijua ku cheat ni no strings attach, hakuna feelings!sasa hata ukipiga unafikiri itasaidia nini? kwakifupi umempa jamaa wa pembeni access kabisaaaa. Sijui kwanini mko hivi, kwani kuna sehemu yeyote niliyosema nishatoa? povu jiiiiingi...chillax
U guys lakini ni wapi nimesema nimempa? Or made comparison? Wapi nimesema au admit/insinuate kuwa nataka tena na tena? U guys mnajump into conclussion too much banaKwa hiyo ukampa, ukijua ku cheat ni no strings attach, hakuna feelings!
....ila kwa kuwa huyo jamaa ni smart and intelligent kuliko mumeo, na mumeo hakuridhishi baada ya kumuonjesha umekuta una fall na unataka tena na tena na hutaki kumsikia mumeo tena!
Ndio point yako?
kuchanganya english na kiswahili inaharibu ladha ya uzi wengne std 7 celew chochoteSorry wapi nimekukwaza?
Nikisoma thread kama hizi huwa nawaza mambo mengi sana.
Kifupi tu, mnatukatisha tamaa kuingia kwenye ndoa (sisi ambao bado).
Mpaka sasa hivi ndoa ni non priority kwangu, and it's all thanks to people like you madame!
Nilipoona neno "STAND BY" nikakimbia haraka kuwa ni 'standby generator' kumbe siyo.
Umeyataka mwenyewe vumilia mishale, ila kwa uzoefu wangu tayari umeto.........mbwa japo huwezi kukubali na kama utaendelea hivi hivi ndoa yako ipo matatani.