Ungekuwa unaamini kukaa kimya ungeanza ww kukaa kimya!
Thread yako imebebwa na sentensi "mistari yake mingi ni ya KIUJANJAUJANJA mno!".huna tafsiri ya kiujanjaujanja na mifano yake,na pia storytelling inaruhusiwa kwenye hiphop,kama ulikuwa hujui.
Zaidi kuwataja kina Geez,Babuu,Kala,na Mansulii kuwa wasanii bora wa hiphop,tena kwa miaka 10 ijayo imedhihirisha wewe ni mbumbumbu wa hiphop!Hata FidQ na Jmoe hawawezi freestyling,nguzo muhimu ya kuwa MC wa ukweli!
Jipange,vinginevyo kaa kimya maana ni BUSARA!
vp vjana kama one the inredible. Nikki mbish, stereo. Songa jeee
nakubaliana na ww 60%!! ngoma ya stamina mpya na fid q cjaona ki2 cha maana sana zaid ya mistari yake hiyo ya kiujanja ujanja 2 mfano-(taifa linaitaji sensa ya mateja) (unakula unga utafikiri unaundugu na bakhresa) mistari ya kiwaki sna kwa mc wa hip hop!! ukija kwa roma mkatoliki hii track yake nilipoisikiliza ni taarifa ya habari baada ya kupata kilichafata nikaidelete 2 haina mzuka kabxaa yan kama unasomewa gazeti, atafute mambo mengne yakuongelea sasa. ni hayo 2*
ila iyo list yako ya wasanii umechemshaa
coment yako nzuzri sana but imepungukiwa kitu hivi,,,,,hebu taja basi wasanii wako bora was hip hop bingo"Zaidi kuwataja kina Geez,Babuu,Kala,na Mansulii kuwa wasanii bora wa hiphop,tena kwa miaka 10 ijayo imedhihirisha wewe ni mbumbumbu wa hiphop!Hata FidQ na Jmoe hawawezi freestyling,nguzo muhimu ya kuwa MC wa ukweli"
hapa ndio ambapo nakuunga mkono kwa 50% then 50% yangu nyingine nabaki nayo,
50% hii chukua ya kuwa na mshangao wa kama mimi kwa wasanii kama babuu wa kitaa, geez mabovu, kala na mansuli kuwekwa kwenye wasanii bora,
nadhani mapenzi binafsi yamemgusa mtoa thread, maana hao aliowataja ukiwasimamisha na hiki kizazi cha watoto wa juzi kina one the incredible, nick mbishi n.k hawawezi kugusa moto wao,
50% ambayo nabaki nayo ni ya wewe kupinga fid q na jmo wasiwe best hiphop kisa hawajui freestyle, nadhani kaka hapa umepitiwa kidogo,
labda cjui freestyle gani ambayo unaisema wewe,
unapotaja 10 bora ya hiphop artist hauwezi ukaacha haya majina, hata ukipewa 5 bora bado yatakuwepo.
"Zaidi kuwataja kina Geez,Babuu,Kala,na Mansulii kuwa wasanii bora wa hiphop,tena kwa miaka 10 ijayo imedhihirisha wewe ni mbumbumbu wa hiphop!Hata FidQ na Jmoe hawawezi freestyling,nguzo muhimu ya kuwa MC wa ukweli"
hapa ndio ambapo nakuunga mkono kwa 50% then 50% yangu nyingine nabaki nayo,
50% hii chukua ya kuwa na mshangao wa kama mimi kwa wasanii kama babuu wa kitaa, geez mabovu, kala na mansuli kuwekwa kwenye wasanii bora,
nadhani mapenzi binafsi yamemgusa mtoa thread, maana hao aliowataja ukiwasimamisha na hiki kizazi cha watoto wa juzi kina one the incredible, nick mbishi n.k hawawezi kugusa moto wao,
50% ambayo nabaki nayo ni ya wewe kupinga fid q na jmo wasiwe best hiphop kisa hawajui freestyle, nadhani kaka hapa umepitiwa kidogo,
labda cjui freestyle gani ambayo unaisema wewe,
unapotaja 10 bora ya hiphop artist hauwezi ukaacha haya majina, hata ukipewa 5 bora bado yatakuwepo.
punguza mahaba coz yanadhoofisha uwezo wako wa kufikri........hata siku moja hatutumii filings kufikiri
na yenyewe pia hip hip...hao wanarap tu
anafaa kuwa mwandishi wa hadith,mistari yake mingi ni ya kiujanjaujanja mno.ila kwa kua mziki wa bongo umehama kwenye thems na contents ...funs wanashabikia mno kava la nje, bongo music is not a matter of unajua bt ni ni isue tu ya wenye mziki wao ''kula nao na hii ndo sababu ya stamina kushain,,kinyume cha hapo wasanii bora wa hiphop tanzania mpaka baada ya miaka kumi ijayo ni FID Q,JAY-MOY,GEEZ MABOV,BABUU WA KITAA,KALA JEREMIAH,MAN SULEE, najua unapenda nimuweke na roma bt nyimbo zake ni sawa na kusoma gazeti la mwanahalisi so yupo kwenye category nyingine
na yenyewe pia hip hip...hao wanarap tu
Arusha wanarun Hip Hop ya tz
arusha wanarun hip hop ya tz