Stamina anasema "...labda ukadeti na Yesu",hii siyo sawa!

The Boldly

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,377
Reaction score
5,150
Msanii Stamina ametoa album yake yenye nyimbo 13.

Kati ya hizo kuna wimbo unaitwa Nambie ameimba na Linah.

Kwenye wimbo kuna mstari wenye utata na maneno ya kejeli kwa Yesu.

Anaimba anasema "ukitaka mapenzi hayo,labda ukadeti na Yesu".

Hii ni sawa kweli wakuu??
 
Sasa yesu aliweza kufufua hadi watu halafu wewe ndugu yangu unamtetea kiumbe chenye uweza wake!,just muache yesu ajitetee si mwenyewe sisi tupambane na yakwetu.
Ni logic nyepesi tu usijisumbue na kondoo wenzako wakati alierushiwa bango ni mchungaji ambae anauwezo wa kila kitu.
 
Yesu alkua Ni mtu Alie kamilika au unataka kusema yesu alikua asimaamishi?
 
Msanii Stamina ametoa album yake yenye nyimbo 13.

Kati ya hizo kuna wimbo unaitwa Nambie ameimba na Linah.

Kwenye wimbo kuna mstari wenye utata na maneno ya kejeli kwa Yesu.

Anaimba anasema "ukitaka mapenzi hayo,labda ukadeti na Yesu".

Hii ni sawa kweli wakuu??
Ach a ushamba wewe kujifanya unatetea mtu ambae hata hujui rangi yake, km umemind kunya tikiti
 
Mkuu mtoto kuitwa Yesu siyo dhambi.

Dhambi ni hapo unaposema mtu akadeti na Yesu....
Stamina hajakosea kwa minajili ya Sanaa. Labda km kwa imani zetu

Yesu ni mtakatifu, mkamilifu, mwema na mwana wa Mungu

Hivyo kusema kama unataka mapenzi hayo kadate na Yesu alimaanisha hakuna mwanaume anayeweza kudate na mwanamke mmoja tu. Labda Yesu.
 
Msanii Stamina ametoa album yake yenye nyimbo 13.

Kati ya hizo kuna wimbo unaitwa Nambie ameimba na Linah.

Kwenye wimbo kuna mstari wenye utata na maneno ya kejeli kwa Yesu.

Anaimba anasema "ukitaka mapenzi hayo,labda ukadeti na Yesu".

Hii ni sawa kweli wakuu??
Kuna yule mchezaji wa Manchester City naye sinaitwa Yesu.. nadhani hata Sevilla pia wanaye.
Sasa inategemeana na Jesus yupi wa Manchester City au Sevilla?
 
Nchi nying za south America watu wanatumia jina la yesu kama jina la kawaida tuuh
 
Back
Top Bottom