Naona Kama umeumia hiviUzi wa stamina na domo katajwa aiseeee usukule raha
Naona Kama umeumia hivi
Ukisikia matukio kama "Leaving Neverland" ya Michael Jackson au DocuSeries ya "Surviving RKelly" unaweza kushangaa inatokeaje watu wanakubali kufungiwa ndani na msanii huku wakilawitiwa na wanakaa kimya.Uzi wa stamina na domo katajwa aiseeee usukule raha
Kwahiyo kinachokuuma sio ushauri wangu kwa stamina ila Ni kumtaja mondi tu?Ukisikia matukio kama "Leaving Neverland" ya Michael Jackson au DocuSeries ya "Surviving RKelly" unaweza kushangaa inatokeaje watu wanakubali kufungiwa ndani na msanii huku wakilawitiwa na wanakaa kimya.
Ila Ukiyaona Mahaba ya mleta mada kwa Domo unaona kabisa suala hilo linawezekana kirahisi kabisa.
Vipi mbona Rayvan yeye haya matangazo hapati mkuu?Kwahiyo kinachokuuma sio ushauri wangu kwa stamina ila Ni kumtaja mondi tu?
Ukute huyo Stamina hata hamjuiUsiuzunike kama amekuangusha inuka simama maisha yanaendelea
We jamaa unapenda uteam Sana hapa tupo kwaajili ya staminaVipi mbona Rayvan yeye haya matangazo hapati mkuu?
Punguza jazba kijana nimekuuliza tu coz wewe ni mdau wa wcb na hapa tunajadili issue ya kuwa brandy ambassador.We jamaa unapenda uteam Sana hapa tupo kwaajili ya stamina
Me sio mdau wa WCB me ni mpenzi wa musicPunguza jazba kijana nimekuuliza tu coz wewe ni mdau wa wcb na hapa tunajadili issue ya kuwa brandy ambassador.