Stamford education centre - kituo cha elimu stamford yombo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stamford education centre - kituo cha elimu stamford yombo

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kimariojoni, Oct 29, 2011.

 1. k

  kimariojoni New Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda kuwatangazia wakazi wa Yombo, Kilakala, Buza, Makangarawe, Uwazi, Relini, Davis Kona, Mcharingeni, Machimbo, na vitongoji vyake waliokuwa wanahangaika siku zote kwenda HUKO MJINI KATI, UBUNGU, MBEZI TOWN kusaka Elimu ya Lugha ya KIINGEREZA, KIFARANSA, HISABATI, KEMIA NA FIZIKIA na WALE WATU WAZIMA WANAOPENDA KUJUA KUSOMA, KUHESABU NA KUANDIKA PIA KUJUA KUTUMIA KOMPYUTA KWA LUGHA NYEPESI YA KISWAHILI, sasa wapumue kidogo wabane nauli zao kwa matumizi mengine, waje hapa Kituo cha STAMFORD ambapo wataweza kupata ushauri na "malezi" ya kitaaluma yaani EDUCATION GUIDANCE NA COUNSELLING" . Njoo tuone tupeane ushauri na ufuatiliaji Makini wa maendeleo yako kitaaluma pia usome kwa utulivu. Utakutana na wasomi wenzako, utaweza kubadilishiana nao mawazo ya kitaaluma. Wahitimu wa Darasa la SABA, kidato cha NNE na SITA njooni tuboreshe lugha na kubadilishiana mawazo juu ya nini cha kufanya baada ya miaka mingi ya shule. Hasa kama ulimaliza au kukatisha masomo na kuambiwa kuwa "UMEFELI" KARIBUNI SAAANA. Panda Mabasi ya Tandika -Buza au Abiola Kupitia Davis Kona, Shuka njia Panda kwa Mzee Mwinyi, uliza Kituo cha Stamford kilichopo Karibu na Soko Jipya la Uwazi karibu na kwa Diwani. Washiriki wakichoka hupata burudani laini ya Mpira wa Miguu kwa kutumia Luninga. Karibuni sana Tusome Pamoja.
   
Loading...