Hii haina mantiki yeyote na wala haieleweki mara mdada, ushungi helezimekwama. Ww ni mgeni kwa matumizi ya ATM.Tuendelee kujihadhari sana tunapoingia vibanda vya ATM hasa ukikuta mtu stranger
Hii ni simulizi.......
Nimeingia ATM nataka kutoa pesa anaingia mdada na kuniuliza maswali kadhaa, najaribu kutoa fedha zinagoma baada ya muda nakuta nikihangaika kutafuta ATM nyingine nakuta fedha zmekombwa
Yaani nashindwa hata kuandika zaidi kilichotokea mbaya zaidi nakuta hata kadi si ile yangu na ni mpya kabisa ikionesha ni maaum kwa kuibia
Kwa sababu uchunguzi unaendele sitaweka data zote humu ila muhimu kushirikishana uzoefu kwa waliokumbwa na masaibu kama haya
Muache apumzike kwanza, kukombwa SALIO lote si Mchezo mkuu!Hii haina mantiki yeyote na wala haieleweki mara mdada, ushungi helezimekwama. Ww ni mgeni kwa matumizi ya ATM.
Nilifikiri ni mimi peke yangu....Mkuu samahani kwanza pole sana pili mimi cjakuelewa kbsa
Ussiombe yakukute kijana, mtu kahustle kibubu kimeshiba halafu mpuuzi anakuja kulamba kilaini usawa wenyewe huu..?Acha kulia lia mwanaume,, katafute zingine,,
Jamani wizi huo upo, kuna ndg yangu kaibiwa hela zote kwenye account yake ambapo alienda kutoa hela kwenye atm na akamkuta dada mmoja mfupi kiasi, mweupe, mwembamba na alikuwa kavaa ushungi, huyo dada alikuwa anahangaika kutoa hela kwenye atm jirani na aliyoitumia ndg yangu. Anadai yy aliingiza kadi yake kwenye mashine akatoa kiasi cha fedha alichohitaji na kadi ikatoka, pasipo kuangalia akaweka kadi yake kwenye wallet. Baada ya siku kadhaa kaenda kutoa hela kwenye atm na kadi ambayo si yake bila mwenyewe kujua, alipoingiza password ikagoma so akaingia ndani kulalamika, si ndio kushangaa kadi si yake, kuomba bank statement akakuta pesa zishalambwa, na alipoomba kuona picha akaambiwa camera ni mbovu, alipoomba benk wamlipe kaambiwa ukiibiwa kupitia kwa macashier wa bank unaweza kulipwa lakini ukiibiwa kwenye atm au simbanking hulipwi kwani huo ni uzembe wako. Tukio hili limetokea moro
Mkuu umekula maharage ya wapi mbona hueleweki?Tuendelee kujihadhari sana tunapoingia vibanda vya ATM hasa ukikuta mtu stranger
Hii ni simulizi.......
Nimeingia ATM nataka kutoa pesa anaingia mdada na kuniuliza maswali kadhaa, najaribu kutoa fedha zinagoma baada ya muda nakuta nikihangaika kutafuta ATM nyingine nakuta fedha zmekombwa
Yaani nashindwa hata kuandika zaidi kilichotokea mbaya zaidi nakuta hata kadi si ile yangu na ni mpya kabisa ikionesha ni maaum kwa kuibia
Kwa sababu uchunguzi unaendele sitaweka data zote humu ila muhimu kushirikishana uzoefu kwa waliokumbwa na masaibu kama haya
Kidadavue japo kwa ufupi mkuu,kabla ya hiyo j3 utakapo confirmATM zipi?
za umoja switch?
visa?
mimi pia kuna kitu nime experience leo nasubiri jumatatu nika confirm kitu
Uzi unasikitisha kwa jambo lililokupata ila mtiririko wako hauleweki kabisa,anyway nakusamehe najua itakuwa kwa vile ulipagawa kukuta mkwanja wote hamna,ila next time andika kwa utulivu ujumbe na elimu ifike vizuri.
wezi wana mbinu nyingi sanasijui kama tanzania mnatumia hii system bt huku SA me siendi kudraw pesa kwa ATM huwa nakwenda supermarket then nanunua Gazeti or Juice then ninapokwenda kulipia huwa natoa kadi yangu na kufanya hivi:-mfano total amount ya juice na gazeti ni TSh3000 basi mimi nalipa kwa Tsh200000 ili nirudishiwe chenchi Tshs197000 ambazo nilikuwa ndo nazihitaji kwa matumizi zangu binafsi. Hii imenisaidia sana cz hata pesa zikipotea najuwa wapi nitakwenda malalamiko na pia tuwe makini na ATM za barabarani sio safe kabisa.