Staili nyingine ya wizi ATM

Staili nyingine ya wizi ATM

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Tuendelee kujihadhari sana tunapoingia vibanda vya ATM hasa ukikuta mtu stranger

Hii ni simulizi.......

Nimeingia ATM nataka kutoa pesa anaingia mdada na kuniuliza maswali kadhaa, kwani unatoa fedh nyingi? kitu gani umekwama? nikamjibu hiyo haikuhusu ...nikaingiza kadi yangu ya VISA, najaribu kutoa fedha zinagoma ATM inajibu Transaction declined,

Nikaenda ATM nyingine hali ikawa hivyo hivyo, nikatumia kadi yangu nyingine kutoa pesa nikagundua salio limechotwa sana

Nilipopiga simu benki wakaniamba hizo fedha zilitolewa kwa mafungu ATM fulani, hivyo niende tawi la karibu, nilipofika natoa kadi NAYO siyo ile yangi kwani pale a kwanza nilipokosa nilichomoa tu na kuondoka........na kadi yenyewe mpya kabisa tena ikionesha ni maalum kwa utapeli, bado naendelea kufuatilia................

Kwa sababu uchunguzi unaendele sitaweka data zote humu ila muhimu kushirikishana uzoefu kwa waliokumbwa na masaibu kama haya na wengine kuchukua TAHADHARI SANA kwa sasa kwani jioni yake kuna tukio kama hili tena nimelisikia tena kafanyiwa mjeda
 
pole mkuu aiseee fuata utataratibu upate pesa zako asante kutuambia hili aiseee
 
Pole sana mkuu kwa hy tuwe makini na wadada wanoingia Atm
tena kavaa ushungi na inasemekana baada muda tu wanakuja wababa wenye misuli yao..................
 
Kichwa cha habari na ulichokiandika vinakinzana...."Unaingia ATM kutoa pesa....mara anaingia mdada pesa zinagoma kutoka.....unahama hiyo mashine kwenda nyingine pesa unakuta imekombwa yote......kukumbuka kumbe umeibiwa na mdada tena kavaa ushungi",.....inamaana wadada amabao hawavai ushungi ndo wezi au unataka weka msisitizo kuwa kuvaa ushungi ndio njia ya kuonyesha kweli umeibiwa?....mwisho unadai hutoweka data zote ili tuwe na tahadhari kuhusu wizi huu.
 
Tuendelee kujihadhari sana tunapoingia vibanda vya ATM hasa ukikuta mtu stranger

hii ni simulizi.......

nimeingia ATM nataka kutoa pesa anaingia mdada na kuniuliza maswali kadhaa, najaribu kutoa fedha zinagoma baada ya muda nakuta nikihangaika kutafuta ATM nyingine nakuta fedha zmekombwa

yaani nashindwa hata kuandika zaidi kilichotokea mbaya zaidi nakuta hata kadi si ile yangu na ni mpya kabisa ikionesha ni maaum kwa kuibia

kwa sababu uchunguzi unaendele sitaweka data zote humu ila muhimu kushirikishana uzoefu kwa waliokumbwa na masaibu kama haya
Huyo dada amewaliza wengi huwa anavaa hijab anafunika kichwa. Siku nyingine usikubali kusaidiwa na mtu ndani ya ATM machine ukiona inasumbuwa ATM machine nenda branch utahudumiwa. Huyu dada huwa anawabadirishia ATM card kwa ujanja. Omba uone picha za CCTV camera utaona jinsi alivyokubadirishia ATM card yako
 
Nimewahi kusoma mahali inakuwa hivi;
wewe unapoenda kwenye ile ATM yeye anakuwa ameshaifanyia mchezo mchafu ili utakapotoa ishindikane kwenye hatua za mwisho kabisa.
Wewe unapotoa yeye anakuwa ametega tu anakusikilizia akitegemea utakaoshindwa ni lazima utakimbilia ndani kuomba msaada.
Na kweli, ile dakika moja tu ya wewe kuingia ndani tu yeye anakuja kutoa kiasi ulichoomba wewe huku akitumia password yako ileile. Anacheza na
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Pole ata mm leo imenikumba nbm iyo wameniuzi eti nijaze fomu nikae masaa 24 ela itarudishwa shida sana
 
Pole sana, uku mtaani pesa hakuna kila mtu anatafuta mbinu ya kujikwamua maisha, tareh zenyewe ndo hizi za ATM kucheka
 
Huyo dada amewaliza wengi huwa anavaa hijab anafunika kichwa. Siku nyingine usikubali kusaidiwa na mtu ndani ya ATM machine ukiona inasumbuwa ATM machine nenda branch utahudumiwa. Huyu dada huwa anawabadirishia ATM card kwa ujanja. Omba uone picha za CCTV camera utaona jinsi alivyokubadirishia ATM card yako
Aisee.....kubadilishaje?? Hapo sijaelewa
 
kuna ripoti ilitoka kuwa sasa windows xp imesitishwa kimatumizi ya ulinzi katika ubora.lakini watu wengi hutumia mwanya huo kutumia virusi vinavo wekwa kwenye kadi kama trojan worm ambayo hakiweka mara kwanza.akisha fanya kitendo hicho kina subili mara ya pili kadi yoyote kuingia na inapo ingia inazuia na kuchelewesha na yeye utumia kama anakuja kutumia na ukaona ijatoka baada ya mda kidogo akiingiza kadi mara ya tatu feza mara ya pili inajitoa kwa vile ili stop kwa kirusi
 
Tuendelee kujihadhari sana tunapoingia vibanda vya ATM hasa ukikuta mtu stranger

Hii ni simulizi.......

Nimeingia ATM nataka kutoa pesa anaingia mdada na kuniuliza maswali kadhaa, najaribu kutoa fedha zinagoma baada ya muda nakuta nikihangaika kutafuta ATM nyingine nakuta fedha zmekombwa

Yaani nashindwa hata kuandika zaidi kilichotokea mbaya zaidi nakuta hata kadi si ile yangu na ni mpya kabisa ikionesha ni maaum kwa kuibia

Kwa sababu uchunguzi unaendele sitaweka data zote humu ila muhimu kushirikishana uzoefu kwa waliokumbwa na masaibu kama haya
Ungefafanua sawa sawa ungepata msaada manake nina hakika hapa wengi wako na taaluma tofauti na uelewa tofauti na wengi wako kwenye fan hizo..sasa kama hupendi kufafanua zaidi ni bora kabisa usinge post ili ukapost kitu kizima nina hakika ingeeleweka kabisa
 
Back
Top Bottom