Staili mpya ya unywaji wa Bia.

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Hii ndio staili mpya ya unywaji wa bia,staili inasaidia sana kipindi upo busy na shughuli nyingine huku koo lako linashushiwa kinywaji tu.
 
Attachments

  • 001.JPG
    001.JPG
    57.3 KB · Views: 750
Hii ndio staili mpya ya unywaji wa bia,staili inasaidia sana kipindi upo busy na shughuli nyingine huku koo lako linashushiwa kinywaji tu.

Huyu dogo alikuwa IST kila mwaka namuona kwenye goat races na hilo kreti lake kichwani.. Yes huwa ni kivutio tosha
 
Vumbuzi nyingie wala hazina tija ni sawa na waliovumbua jiko la kutumia oil chafu
 
Back
Top Bottom