Nafikiri haujaielewa hiyo picha, huyo anayemchoma kisu Askari siyo adui, bali wako Jeshi moja na Askari sema au Askari aliamini hivyo kwamba wako pmj kwenye mapambano wkt Askari akiwa kazini kupambana na maadui wa nchi yake jamaa akaja kumchoma kisu kwa nyuma, kwa kifupi amewasaidia Maadui, au amewafanyia maadui kazi!
Hiyo ndiyo maana ya stab in the back, au kwa kikwetu kikulacho, kinguoni mwako!